WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 623
Kwa mtazamo kama huo bora IphoneMkuu bora uongeze ongeze kidogo uchukue hata s6 . Hizi j series hamna kitu
iPhone 6S Milion 1.6 GB 128.'yeye ana 600kKwa mtazamo kama huo bora Iphone
Nashukuru mkuu,kama unapata galaxy note 4 ni bora zaidi kwa budget hio,
galaxy j7 sio mbaya ila hakikisha unanunua version ya 2016 na sio 2015. hii version mpya imeongezwa battery, ina frame ya alluminium, software yake pia ni mpya na soc pia wamei upgrade
Asante mkubwa, s6 bei gani? Nitaweza kwa kilo 6?Mkuu bora uongeze ongeze kidogo uchukue hata s6 . Hizi j series hamna kitu
Naomba unielezee zaidi hizi j series zina shida gani?Mkuu bora uongeze ongeze kidogo uchukue hata s6 . Hizi j series hamna kitu
ongeza kidogo unapata galaxy j5 bei rahisi zaidi niliowahi kuona j5 ni 390,000Jamani kwa mm mwenye 3.5k Tapata Samsung ya specs zipi hebu nisaidieni wataalamu
ukiona inauzwa milioni ujue huyo mtu ana stock ya zamani, simu zote za 2014 zimeshuka bei tayari, na note 6/7 inatoka mwezi ujao inamaana 4 itakuwa tayari imepitwa generation mbili.Nashukuru mkuu,
Ila note 4 si inacheza kwenye milioni na ushee? Au nichukue ya mkononi.?
Sijawahi kubahatika kukaa na simu kwa zaidi ya mwaka mmoja lazima itapotea, itaibiwa etcMkuu mbona review za simu ziko kibao. Kila mtu akitaka kununua simu na kuuja kuuliza huku mbona itakuwa shida. Anyway nunua J7 kulingana na bajeti yako ndio simu bonba katika uzuri, kutunza charge, speed n.k. Ila usizungumzie durability, maana hakuna simu ambayo ni chuma cha pua, kila mwaka wanatengeneza mpya.
Samsung wahuni,hawana uhakika wa ku-update simu zao nyingne nje ya flagship maana nadhan wana aina nying,kwasasa wana on5 na on7 kule india,mimi nashauri sony maana wana update simu kwa miaka hata mitatu,nmemilik samsung na sony,sony kwa updates wako poa,pia unaweza kukaa na betri miaka miwili na usibadil betri,kwa hyo hela anapata z3 au kama vp nokia 1520 ni nzuri kwa chaji na itapata window 10kama unapata galaxy note 4 ni bora zaidi kwa budget hio,
galaxy j7 sio mbaya ila hakikisha unanunua version ya 2016 na sio 2015. hii version mpya imeongezwa battery, ina frame ya alluminium, software yake pia ni mpya na soc pia wamei upgrade
Samsung wahuni,hawana uhakika wa ku-update simu zao nyingne nje ya flagship maana nadhan wana aina nying,kwasasa wana on5 na on7 kule india,mimi nashauri sony maana wana update simu kwa miaka hata mitatu,nmemilik samsung na sony,sony kwa updates wako poa,pia unaweza kukaa na betri miaka miwili na usibadil betri,kwa hyo hela anapata z3 au kama vp nokia 1520 ni nzuri kwa chaji na itapata window 10
Nashukuru kwa mchango wako, ngoja nichek hizo sony ila kwa nokia ambazo ni windows naona si nzuri kwangu nitapata shida kupata softwares ninazohitajiSamsung wahuni,hawana uhakika wa ku-update simu zao nyingne nje ya flagship maana nadhan wana aina nying,kwasasa wana on5 na on7 kule india,mimi nashauri sony maana wana update simu kwa miaka hata mitatu,nmemilik samsung na sony,sony kwa updates wako poa,pia unaweza kukaa na betri miaka miwili na usibadil betri,kwa hyo hela anapata z3 au kama vp nokia 1520 ni nzuri kwa chaji na itapata window 10
Mkuu hiyo j7 ya 2016 ??Ukitaka J5 au J7 nicheki nauza j5 kwa 390,000. na J7 kwa 550,000. zote ni boxed brand new.
hapana ni ya 2015Mkuu hiyo j7 ya 2016 ??