Nataka kununua samsung j7 au samsung nyingine nzuri

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
950
623
Habari wakuu,

Nimejichanga kufikia Tshs. 600, 000/-. Naomba kujua uzuri wa samsung j7 kwenye memory, battery na camera na durability, au kama kuna samsung aina nyingine yenye kiwango na nzuri kulingana na bajeti yangu.

Nawasilisha wakuu, naomba michango yenu.
 
Mkuu mbona review za simu ziko kibao. Kila mtu akitaka kununua simu na kuuja kuuliza huku mbona itakuwa shida. Anyway nunua J7 kulingana na bajeti yako ndio simu bonba katika uzuri, kutunza charge, speed n.k. Ila usizungumzie durability, maana hakuna simu ambayo ni chuma cha pua, kila mwaka wanatengeneza mpya.
 
kama unapata galaxy note 4 ni bora zaidi kwa budget hio,

galaxy j7 sio mbaya ila hakikisha unanunua version ya 2016 na sio 2015. hii version mpya imeongezwa battery, ina frame ya alluminium, software yake pia ni mpya na soc pia wamei upgrade
Nashukuru mkuu,
Ila note 4 si inacheza kwenye milioni na ushee? Au nichukue ya mkononi.?
 
ukiona inauzwa milioni ujue huyo mtu ana stock ya zamani, simu zote za 2014 zimeshuka bei tayari, na note 6/7 inatoka mwezi ujao inamaana 4 itakuwa tayari imepitwa generation mbili.

cha muhimu iwe ni version ya kimataifa ili upate warranty hata ya miezi kadhaa
 
Mkuu mbona review za simu ziko kibao. Kila mtu akitaka kununua simu na kuuja kuuliza huku mbona itakuwa shida. Anyway nunua J7 kulingana na bajeti yako ndio simu bonba katika uzuri, kutunza charge, speed n.k. Ila usizungumzie durability, maana hakuna simu ambayo ni chuma cha pua, kila mwaka wanatengeneza mpya.
Sijawahi kubahatika kukaa na simu kwa zaidi ya mwaka mmoja lazima itapotea, itaibiwa etc
 
kama unapata galaxy note 4 ni bora zaidi kwa budget hio,

galaxy j7 sio mbaya ila hakikisha unanunua version ya 2016 na sio 2015. hii version mpya imeongezwa battery, ina frame ya alluminium, software yake pia ni mpya na soc pia wamei upgrade
Samsung wahuni,hawana uhakika wa ku-update simu zao nyingne nje ya flagship maana nadhan wana aina nying,kwasasa wana on5 na on7 kule india,mimi nashauri sony maana wana update simu kwa miaka hata mitatu,nmemilik samsung na sony,sony kwa updates wako poa,pia unaweza kukaa na betri miaka miwili na usibadil betri,kwa hyo hela anapata z3 au kama vp nokia 1520 ni nzuri kwa chaji na itapata window 10
 
A na S zinapata updates na J sina uhakika ila nafikiri zinapata. mi nimeitumia kidogo j5 software yake ni ile ile ya note 5 na s6.
pia j7 ya 2016 inakaa sana na charge cheki review gsmarena.
 
Samsung wahuni,hawana uhakika wa ku-update simu zao nyingne nje ya flagship maana nadhan wana aina nying,kwasasa wana on5 na on7 kule india,mimi nashauri sony maana wana update simu kwa miaka hata mitatu,nmemilik samsung na sony,sony kwa updates wako poa,pia unaweza kukaa na betri miaka miwili na usibadil betri,kwa hyo hela anapata z3 au kama vp nokia 1520 ni nzuri kwa chaji na itapata window 10
Nashukuru kwa mchango wako, ngoja nichek hizo sony ila kwa nokia ambazo ni windows naona si nzuri kwangu nitapata shida kupata softwares ninazohitaji
 
Ukitaka J5 au J7 nicheki nauza j5 kwa 390,000. na J7 kwa 550,000. zote ni boxed brand new.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom