Nataka kununua gari naomba ushauri!

wakuu naombeni ushauri na msaada kukokotoa gharama za kodi hadi inaingia barabarani

Honda fit
yr = 2004
fob = $ 805
cif = $ 2024
cc= 1330

Toyota ist
yr = 2004
fob = $ 2000
cif = $ 3239
cc= 1290

Natakunguliza shukrani
 

Honda fit ninayo 7.5m ipo dar
 

Nakubaliana nawe kabisa, ila sasa kuna wengine huko tunakoishi yaani haya magari madogo unasikia yanakwaruzia na kugongea tumboni!
 
Nunua Suzuki Vitara lita1-km 9 to 10,lakini jamani wadau swala la fuel consumption kwa uzoefu wangu linategemea vitu vingi sana ikiwemo ukanyagaji wa mafuta,traffic jams,nature of the road(kama una shuka consumption inapungua,ukiwa unapandisha consumption inazidi)pia uwakaji wa AC ukilinganisha na weather na mengine mengi wataalamu nisaidieni hapo.
 
Nimejifunza mengi hapa.... Ila vipi kuhusu Suzuki Kei? Thanx

Suzuki Kei ipo poa sana pia. It delivers and above all fuel efficient. Bado naona kwa Dar hakuna ulazima wa kuwa na mgari mkuuubwaaaaa wakati misele yenyewe ni Home-ofisini-home na jumamosi church au kideti na demu wako ambaye hujamuoa. Sana sana kwa mama naniliu naona utakua unaenda kumsalimia naniliu kama bado hamuishi wote ila kama mnaishi wote basi mtakua mwaenda wote job na kupenzika. Tehe tehe tehe
 
6 m i dnt think so , may be if you were a man
 

Asante mkuu hekimatele kweli haka kagari ni katamuu
Hivi kanaweza kuhimili safari ya kwenda kwa baba naniliu morogoro? mimi niko dar
 
Kama ukaapo barabara ni nzuri chukua IST ya 1290cc utaenjoy. . Kama road Sio nzuri jitahidi chukua jimny japo bei ni kali kidogo Ila utapata performance uitakayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…