Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

Kwahiyo nikitaka mapenzi niweke hisia za mtu mwingine,maisha gani sasa haya
Hivi hili suala la kufanya mapenzi na kuwa na hisia na mtu lipoje, yaani wanaonunua malaya njiani nakufanya nao mapenzi na kupiga bao mpaka 4 inakuwaje hapo unazungumziaje suala la hisia.

Ngono inahitaji jinsia mbili tofauti basi, hakuna kitu kinaitwa hisia mimi ukiniweka na mwanamke ndio tunakutana siku hiohio bado hisia zinakuja, unifunge kitambaa bado hisia zinakuja.

Kuna Ana ya kupata definition ya Hisia ni ninia, mwanzo wa mada nikajua unazungumzia hisia za kimapenzi yaani unavyo feel mtu ukiwanae ndio kumepungua, yaani hau feel furaha ukiwa karibu nae tena HII ndio maana ya Hisia lakini wewe unaonesha hata Hisia yenyewe hujui maana yake.
 
Wapi huko utakapoenda ambako hisia hazitokaa ziishe?

Unatakiwa kuelewa hisia kuisha sio fault ya mwenza wako, ni jambo lako personal ambalo probably litatokea tena na tena.

Ndio maana muwaelewe ambao hawataki kuoa/ au hawana partners permanent, ni watu ambao wameshajijua wana tatizo la kihisia, they can not settle for anyone.

Tofauti ya binadamu ni UTU na BUSARA, wengine busara yao inawaambia siwezi kuwa nachungulia/nachunguliwa uchi na watu tofauti tofauti kila mara wanaamua kusettle, mwingine anaona ni fresh.

Hisia zikiisha kama ni marafiki ya’ safe, kama sio marafiki mtafanya mengine, kulea watoto, kuendesha biashara, ujenzi, etc etc

Hata hivyo , huyo dada umeshamuacha….. sasa kamalizie tu kumuacha!
 
Mkuu kuishi na mtu ambaye huna hisia nae ni mtihani sana. Bora umueleze mapema aelewe na muachane kabla hamjafika mbali..ila je tangu huko awali ulikua huna hisia nae? Au kuna mambo yamevuruga hisia zako?
 
Ni bora umwambie ukweli mchungu kuliko kuishi na mtu ambaye hauna hisia nae. Usiwasikilize wote hapa wanaokutana na kukukejeli. Your feelings are valid. Mueleze ukweli and be free
Hivi kuwa na mtu 5yrs afu useme Hun hisia nae hisia ndo nn hcho. Hizo hisia hizo sizielewi at Sina hisia na ww😂😂😂🤭🙌🏿🙌🏿🙌🏿, ila vijana
 
Wakuu kuna binti nimekua nae kwenye mahusiano almost miaka mitano. Tumepitia changamoto nyingi kwenye maisha lakini still tuko pamoja. Sababu kubwa iliyonileta hapa ni kuomba ushauri wenu ndugu zangu juu ya hili suala.

Huyu binti nimeshatoa barua kwao ilibaki mahali tu ili nifunge nae pingu za maisha. Aliamua kuhamia kwangu mazima tutafute maisha wote huku mambo mengine yakiendelea.

Lakini nilitoa barua kutokana na shinikizo la mtoto alijifingua bahati mbaya akafariki nikaona nitoe barua kwao kuonesha uungwana. Sasa kwa kipindi chote nimeishi nae nimegundua sina hisia nae kabisa yani akili yangu ipo kutoka nje ya huu mfumo nataka niwe huru.

Nadhani ujauzito ulikua shinikizo kubwa sana la mimi kua karibi nae. Tatizo linakuja tayari anajulikana na familia yangu yote na kila mtu wangu wa karibu anamjua na mimi kila mtu wao wa karibu ananijua.

Naombeni ushauri nataka nianze maisha yangu mapya bila uwepo wake ila sina pa kuanzia niafanyaje ndugu zangu wana JF?
uwo sio utu na ni roho ya kinyama kumuazibu mtu aliekua hajakukosea chochote
 
Mkuu kuishi na mtu ambaye huna hisia nae ni mtihani sana. Bora umueleze mapema aelewe na muachane kabla hamjafika mbali..ila je tangu huko awali ulikua huna hisia nae? Au kuna mambo yamevuruga hisia zako?
Jambo lingine la kuongezea usije ukajaribu kuoa mwanamke kwa sababu unamuonea huruma itakucost.
 
Back
Top Bottom