Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,185
- 103,520
Soma ushauri uliopewa.Tuliza kichwa.Kwahiyo nikitaka mapenzi niweke hisia za mtu mwingine,maisha gani sasa haya
Soma ushauri uliopewa.Tuliza kichwa.Kwahiyo nikitaka mapenzi niweke hisia za mtu mwingine,maisha gani sasa haya
Aliwezaje kuishi na mtu miezi 60 asiye na hisia nae. Tukisema kamtumia, kamchosha na kamuondolea mvuto binti wa watu anataka kumkimbia tunakosea. Katika hili lazima gharama ihusike. Gharama ya kupoteza muda kutoka kwa Mungu au Binti.Ni bora umwambie ukweli mchungu kuliko kuishi na mtu ambaye hauna hisia nae. Usiwasikilize wote hapa wanaokutana na kukukejeli. Your feelings are valid. Mueleze ukweli and be free
Alihamia kwako au wewe ndio ulimhamishia kwako?Huyu binti nimeshatoa barua kwao ilibaki mahali tu ili nifunge nae pingu za maisha. Aliamua kuhamia kwangu mazima tutafute maisha wote huku mambo mengine yakiendelea.
Ndiyo waliobakia.Muende nao kwa steps.
Jipe muda wa kutafakari kuhusu miaka yenu mitano ya kuwa pamoja.Je,amekukosea nini?Amekikwaza kipi?Hisia zimeishaje?Elewa kwamba kila binadamu ana kiasi.Umekua naye kwa muda huo wote mapenzi yenu hayawezi kuwa kama ya siku ya kwanza.Yamedumu na kukua/kubadilika kulingana na muda na umri wenu wote wawili.Hamuwezi kuwa vilevile kila siku.Jaribu kuvaa uhusika wake halafu uachwe tu bila sababu ya msingi.Kwani nini kimebadilika kwake?
Utabadilisha wenza kadiri utakavyo lakini kupata mtu perfect umtakaye si rahisi.Tuliza akili na uzitumie kiufanisi.Akili,mwili na wakati vitakusuta.Havitakuambia uache utoto umekua.Shtuka na uchukue jukumu lenye hitimisho jema.
Mwambie ukweli kama ni muelewa atakuelewa mapenzi haya lazimishwiWakuu kuna binti nimekua nae kwenye mahusiano almost miaka mitano. Tumepitia changamoto nyingi kwenye maisha lakini still tuko pamoja. Sababu kubwa iliyonileta hapa ni kuomba ushauri wenu ndugu zangu juu ya hili suala.
Huyu binti nimeshatoa barua kwao ilibaki mahali tu ili nifunge nae pingu za maisha. Aliamua kuhamia kwangu mazima tutafute maisha wote huku mambo mengine yakiendelea.
Lakini nilitoa barua kutokana na shinikizo la mtoto alijifingua bahati mbaya akafariki nikaona nitoe barua kwao kuonesha uungwana. Sasa kwa kipindi chote nimeishi nae nimegundua sina hisia nae kabisa yani akili yangu ipo kutoka nje ya huu mfumo nataka niwe huru.
Nadhani ujauzito ulikua shinikizo kubwa sana la mimi kua karibi nae. Tatizo linakuja tayari anajulikana na familia yangu yote na kila mtu wangu wa karibu anamjua na mimi kila mtu wao wa karibu ananijua.
Naombeni ushauri nataka nianze maisha yangu mapya bila uwepo wake ila sina pa kuanzia niafanyaje ndugu zangu wana JF?
Watu waliposema mkaishi kwenye shida na raha ndiyo hali unayopitia.Ni ukweli mkuu..lakini kuna time nikitaka kufanya mapenzi navuta hisia za watu wengine
Uja uzito ndio ulikuwa shinikizo? Kabla ya Mimba nini kilikushinikiza kumtomb* mpaka ukampa mimba?Nadhani ujauzito ulikua shinikizo kubwa sana la mimi kua karibi nae. Tatizo linakuja tayari anajulikana na familia yangu yote na kila mtu wangu wa karibu anamjua na mimi kila mtu wao wa karibu ananijua.
Ambalo linakuja kwa muda tu na linaisha.Watu waliposema mkaishi kwenye shida na raha ndiyo hali unayopitia.
Mahusiano ya sasa yamevurugika sana, dunia ya sasa tunayoishi utakuja kugundua kutokuwa na hisia naye ni tatizo dogo sana.
Bora na wewe ume muuelewa jamaa anacho maanishaNi bora umwambie ukweli mchungu kuliko kuishi na mtu ambaye hauna hisia nae. Usiwasikilize wote hapa wanaokutana na kukukejeli. Your feelings are valid. Mueleze ukweli and be free
Huyu dogo inawezekana kabisa alikuwa hata matunzo hampi.Aliwezaje kuishi na mtu miezi 60 asiye na hisia nae. Tukisema kamtumia, kamchosha na kamuondolea mvuto binti wa watu anataka kumkimbia tunakosea. Katika hili lazima gharama ihusike. Gharama ya kupoteza muda kutoka kwa Mungu au Binti.
Hapa jukwani tu hajasema ukweli ataweza kuusema huko?Ni bora umwambie ukweli mchungu kuliko kuishi na mtu ambaye hauna hisia nae. Usiwasikilize wote hapa wanaokutana na kukukejeli. Your feelings are valid. Mueleze ukweli and be free
Pa kuanzia nipe mimi namba za simu za huyo binti unipe na location yake. Halafu ukae kwa kutulia.Wakuu kuna binti nimekua nae kwenye mahusiano almost miaka mitano. Tumepitia changamoto nyingi kwenye maisha lakini still tuko pamoja. Sababu kubwa iliyonileta hapa ni kuomba ushauri wenu ndugu zangu juu ya hili suala.
Huyu binti nimeshatoa barua kwao ilibaki mahali tu ili nifunge nae pingu za maisha. Aliamua kuhamia kwangu mazima tutafute maisha wote huku mambo mengine yakiendelea.
Lakini nilitoa barua kutokana na shinikizo la mtoto alijifingua bahati mbaya akafariki nikaona nitoe barua kwao kuonesha uungwana. Sasa kwa kipindi chote nimeishi nae nimegundua sina hisia nae kabisa yani akili yangu ipo kutoka nje ya huu mfumo nataka niwe huru.
Nadhani ujauzito ulikua shinikizo kubwa sana la mimi kua karibi nae. Tatizo linakuja tayari anajulikana na familia yangu yote na kila mtu wangu wa karibu anamjua na mimi kila mtu wao wa karibu ananijua.
Naombeni ushauri nataka nianze maisha yangu mapya bila uwepo wake ila sina pa kuanzia niafanyaje ndugu zangu wana JF?
Hawa ndio wanaolefu makundi.... Si unaona hata uwezo wake wa kufikiri ulivyo.Kwahiyo unataka umwachie nan mwanamke uliyemchezea ndani ya miaka mitano? Na maisha kakusaidia kutafta! Hivi una akili wewe??? We hata ukimpata mwingine baada ya muda nae utaona huna hisia naye! Kubali huyi ndo mkeo, kwanini vijanaume vya hivi vipo??!
Wenye hisia atupe namba tumwonyeshe......mimi huwa nina hisia na Mwanamke wa aina yoyote as long as ni Msafi anajua kuoga vizuri.Pa kuanzia nipe mimi namba za simu za huyo binti unipe na location yake. Halafu ukae kwa kutulia.