Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,819
- 209,576
Ujinga huuNi bora umwambie ukweli mchungu kuliko kuishi na mtu ambaye hauna hisia nae. Usiwasikilize wote hapa wanaokutana na kukukejeli. Your feelings are valid. Mueleze ukweli and be free
Mtu usiye na hisia nae ndani ya mwaka tu palitosha amove on. 5yrs ndio hisia zikate??