Jack da great
Member
- May 10, 2013
- 36
- 4
- Thread starter
-
- #21
Hommie ukitaka mwanamke mwenye Elimu utakesha koz wa chuo wote wana watu wao either chuo ama home..? Mke mwema ni Heshima na kukujali wewe na kila ulichonacho ukijumuisha na family.?soo kama unataka Mke i think she is material but slap&sleep then move on tuu
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri ananipenda ila kaishia Darasa la saba nataka kumwacha ila kuna roho haitaki.
Pia yeye alitaka kujiua nlipo mwambia kuhusu hilo na yeye kaniganda so nifanyeje maana roho ya huruma inanijia ninapotaka kumwacha.
nyokoooooo kabisa
Asayeee Wewe ni katili au Mwizi wa fadhila !! hiyo tabia itakuCost !! huyu ni binti wa mtu na mwana wa watu mwenye hisia na heshima aishi kama mwanaAdamu yyt.
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Kwa nia na maneno yako hayo juu....... its too bad !! Naomba ujirekebishe....
Yes, real Gentleman!!Usijal Mkuu Nimekusoma
Kama ameishia darasa la saba si umwendeleze tu? huna mapenzi na yeye hata kidogo.
Wewe unaowa mke au kisomo chake, kama unamthamini....fanya mpango wa kumrudisha shule atoe ujinga.
We panya road unajifanya mtaalamu wa kuchagua wa chuo sisi tunao hao wa chuo ni wajuaji mpaka tunataman kuvunja ndoa.
Mdosi hajambo?
JF naona siku hizi imeingiliwa na watoto wa form three ila wanajiita wako chuo kikuu mwaka wa tatu hii ni hatar sana. VUTA NKUVUTE Mzee tupa tupa wa Lumumba njoo watoto wanalia huku.
Love does not ask why..........