Jack da great
Member
- May 10, 2013
- 36
- 4
elimu ya siku hizi ni kijinga kijinga tu!! haina faida yoyote kwa wanainchi, na wanaofaidika ni kundi ndogo la watu lakn jamii kubwa inaumia.
wewe ni mjinga sana kwa hiyo unataka kumuacha kwa sababu ya elimu.???
shataaapu. nyokooo
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri ananipenda ila kaishia Darasa la saba nataka kumwacha ila kuna roho haitaki.
Pia yeye alitaka kujiua nlipo mwambia kuhusu hilo na yeye kaniganda so nifanyeje maana roho ya huruma inanijia ninapotaka kumwacha.
Nawe subiri kupigwa na kusepwa. Kama mwangwi urudivyo ndivyo malipo ya dhuluma tuwatendezo wenzetu yanavyorudi. Tafakari chukua hatua bado mapema.Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri ananipenda ila kaishia Darasa la saba nataka kumwacha ila kuna roho haitaki.
Pia yeye alitaka kujiua nlipo mwambia kuhusu hilo na yeye kaniganda so nifanyeje maana roho ya huruma inanijia ninapotaka kumwacha.
Mimi nadhani mtoa mada labda unasoma taasisi ya elimu ya juu na siyo chuo kikuu.