Nataka kumsaliti mume wangu

Nataka kumsaliti mume wangu

Nenda ila tahdhari, ukionja asali sijechonga mzinga!!!!!
 
Raha jipe mwenyewe si umfanyie visa umsepe tu au mng'oa kucha unaogopa hasira zake?
Miaka 22 upo na jitu la miaka 45 alianzeje au alikusomesha ndio unalipa fadhila. Na wazazi wako waliridhia ukakae nae bila ndoa au ndio hata wazazi umewapanda hawakukuambia kitu.salit hata mm nakungojea
 
unaomba ushauri usikanyage moto
Unataka akugonge dushelele fanya kama alivyokuwa rafiki mpenzi wako umejisahau sana kazi nini
 
Nyie si ndio msiopenda vijana wenzenu? Kwa tofauti ya huo umri unaogopa hata kumwomba huyo babu!
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

una hakika huyo unayedai mume wako hana mke halali wa ndoa? ilikuwaje akakaa mika yote hiyo bila kuoa?
kumbuka wazinzi hawataurithi uzima wa milele, kama ww ni small house achana naye mara moja na tulia uolewe na mtu amaye hajaoa. kama ww ndio mke wake wa kwanza kwa huyo jamaa inakubidi utulie kwani mwisho wa usaliti ni kujiua kama Yuda Iskariote. mambo yote katika ndoa yanajadilika na kuamuliwa, jadili naye

hao wa nje watakupa presha na magonjwa usoyotarajia. ukipuuza utarudi kuomba ushauri tena wakati umeshaumia namna ambayo hutaweza kupona tena
 
davina uliolewa na tu mzima kwa tamaa .za maisha mazuri kuliko uliyokulia kwenu, tangu unaanza nae ulujua kabisa uwezo wake .ni mdogo wa kudo...ukaona utavumilia, sasa yanini umdhalilishe kaka yangu.....
 
Last edited by a moderator:
hujaolewa mzushi sema we ni kimada tu na hata hivyo ukiona ivyo jamaa ana mrembo zaidi yako so uamuzi ni wako kunyoa au kusuka.
 
habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
Tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
selling promotion
 
Hapa hakuna infii material..

Hivi kuna mwizi au kibaka hapa duniani anaomba ruhusa kabla ya kukwapua??

Babu DC!!
 
Huyu atakuwa najamaa yake wa tangu enzi hizo wakiwa shule sasa kwakuwa natunzwa na mtu wa umri wa makamo anajifanya tumshaauri, aamue mwenyewe dhambi ni za kwake kwanini atafute mshauri mshirika?
hapo chacha rafiki amwache babu aendelee na kijana ila pesa mbaya sana usipokuwa na akili itakuendesha
 
Msaliti tu.... Ila usilete ukimwi nyumbani... Yanakutokea puan ulikuwa hujui unaolewa na kibabu....
ndo wale wasichana wanaotaka 3CS.Yaani Car Cash AND Care.wanakua tayari kuolewa na vibabu..kisa 3Cs.C tatu zote amezipata...lakini bado....anahitaji vingine........ajaribu kwengine...
 
Uliolewa na baba yako na miaka hiyo yote 5 alikuwa anakulaani tu - kuuangalia utupu wa baba yako ni laana kubwa sana. Japo wanawake wa mjini mna misemo ya ajabu - oh hiyo siyo kiatu kusema no oversize - haikuwa sawa.
 
tangulia maombi kwa mwenyezi allah atakusaidia,ila usifanye maamuzi ya utata mwisho ukajutia nafasi yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom