Inaonekana wewe ndo huna kitandani, cha kufanya si kumsaliti uyo mwanaume wako, ongeza mbwembwe mdada mbo hatarudi.
Nataka nku hakikishie kwamba kamwe huwezi shindana na mwanaume kwa uamuzi unaotaka chukua. Pia hujasema kama umezaa nae au laaa. Take care, utapotea.