Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema
Basi hakujali maana hapo pakukuridhisha ni moja wapo ya care
ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema
Kwa haraka haraka,wewe siyo mrembo kama ulivyosema,ungekuwa mrembo kivile mumewe asingekuwa busy room anakodolea macho warembo wa TV. Pili umebweka sana,nakushangaa shosti unasubiri mumewe akuombe mambo? Akirudi nyumbani mchangamshe,uwe nadhifu n.k,Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
Habari za humu jamani

Mhh mjini hapa ukioa so.
^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
Kwa haraka haraka,wewe siyo mrembo kama ulivyosema,ungekuwa mrembo kivile mumewe asingekuwa busy room anakodolea macho warembo wa TV. Pili umebweka sana,nakushangaa shosti unasubiri mumewe akuombe mambo? Akirudi nyumbani mchangamshe,uwe nadhifu n.k,
Kitchen party mwambie avaeje anasubiria kuombwa loh
Pole sana, Ila nakushangaa sana wakati unaolewa hukuliona hilo? Ilikuwaje uolewe na mtu aliye kuzidi miaka 23? Nahisi ilikuwa ni pesa ndo zilizo kuvuta! usipende ushauri wa mtu ili ufanye dhambi chagua mwenyewe kwani wakati anakupa pesa zake kipindi kile upo shule uikuwa unafurahi sasa ndo uone madhara ya ndoa za kutofautiana sana umri
huyo babu uwezo wake ndio umeishia hapo lakini huenda ana jini mahaba mimi pia mke wangu huwa anakaa miezi mitatu au minne hataki kuguswa nikamwambia mchungaji akasema ni jini mahaba nimeamua kumwchia mungu apa nina miezi sita mwanamke anasema hajisikii sasa nitafanyaje nendeni kanisani u msikitini kwa mujibu w imani zenu,miaka 49 bado sana hapa mjini sio kwamba anafanya makusudi
Hapo yenyewe anafanya dhambi ajaolewa rasmi kaamia tu kwa mwanaume laikini haijaalalishwa akubalie kijana tu aendelee fanya dhambi zaidi