Nataka kumsaliti mume wangu

Nataka kumsaliti mume wangu

Acha ujinga hv unafikiri hao ndo wanakupenda zaidi? Ukijua kati yao na mumewo nani anakupenda jaribu utaona kasheshe yake ila itakuwa too late
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

Honestly Davina na mume wako mnahitaji deliverance.
 
Wamuache Sir God ashughulike na wagonjwa jamani imagine Ocean Road watu wanaumwa Incurable !!!!!!
Hawa kweli wanahitaji hiyo maneno !!!!!!???????
Kuna watu wamesoma hawana kazi miaka inaenda waachieni hawa hiyo nafasi !!!!!!!
snowhite labda sisi ndio kuna kitu hatukioni au!!!!!!???????
 
Last edited by a moderator:

ni PM nikupe ushauri peke yako.
 
Kwa hiyo miaka yote hiyo hamjafunga ndoa wewe ni nyumba ndogo siyo? Mwache mwenzio arudi kwa mkewe!!! Sasa wee mtu unapishana 19 years ni babako ulienda kufuata nini? Alikuwa na mkwanza siyo? Kitandani hakuna cha mkwanza, ni mtalimbo tu unaheshimika pale!!! Sasa na hapo inaelekea anaye mwingine na ndiyo nguvu zinaishia pale. KWa miaka 49 kwa mwanaume bado jembe huwa ni Zima kabisa japo kiasi cha magoli kinaweza kikiwa kimepungua kama Viagra haihusiki hapo!! Tehe Tehe!!! Njoo nikukune!!
 
#A wise woman knows the importance of speaking life into her man.If you love him,believe in him,encourage him and be his peace#...somtimes mambo yanaweza kuwa tofauti bt do u really thing kuchepuka kutabadilisha chochote?is it age difference au ni tamaa zako tu??mwanamke -------- huaribu ndoa yake mwenyewe...wise up,for ur family sake.#communication is key...and also accept him for his perfect and imperfections.
 
Dah pole sana mwenzio mmmh, wakati ww upo kwenye fire kabisa.Sina chakushauri ila kukutakia kheri ya kuvunja ndoa na kuingia kwa vijana wa mujini.Pia kama vipi achana naye kabisa maana huyo mzeee akhuuuuu, mpo tofauti sana kimtazamo.
Utofauti kimtazamo umeanza leo? Hiyo miaka yote alikuwa wapi?? Huyo anafatuta donda afukuze nzi!! Toka nje upate la kulipata
 
Wamuache Sir God ashughulike na wagonjwa jamani imagine Ocean Road watu wanaumwa Incurable !!!!!!
Hawa kweli wanahitaji hiyo maneno !!!!!!???????
Kuna watu wamesoma hawana kazi miaka inaenda waachieni hawa hiyo nafasi !!!!!!!
snowhite labda sisi ndio kuna kitu hatukioni au!!!!!!???????

Mi ndo wehu kabila hii nsoutaka!

Tujiliage nyama choma tu!
 
Last edited by a moderator:
ndo matatizo ya kufuata hela hayo mtu ana miaka 49 we 26 afu kwenye uhusiano miaka 5 it means we ulikua 21 ye 44, afu sasa hivi una miss mchakamchaka wa vijana wakat babu yako mtarimbo doro. Vumilia tu kama ulifuata hela kwani ukipenda boga penda na ua lake.
 
Mh...nakuonea huruma, ila sikushauri utafute mchepuko. utakosa bara na pwani. Hapo ndipo mwanzo wa maisha magumu na yenye ukakasi yatakapoanza. Tulia tu, achana na mawazo TASA..
 
Hivi alternative ya shida za mapenzi ni mchepuko!!!!??????
 
Ameishi kwenye uzinzi miaka 5 kwa hiyo anao ujasiri wa kuuliza iwapo kuongeza idadi ya wazinzi ni sahihih, kiufupi miaka 5 iliyopita umeishi kwenye uzinzi na ukitoka nje au ukibaki ndani bado utakuwa kwenye uzinzi huohuo. La muhimu achana na mume wa mtu, tafuta kijana mwenzio muishi maisha ya ndoa kwa uhalali.
 
Kwa hiyo miaka yote hiyo hamjafunga ndoa wewe ni nyumba ndogo siyo? Mwache mwenzio arudi kwa mkewe!!! Sasa wee mtu unapishana 19 years ni babako ulienda kufuata nini? Alikuwa na mkwanza siyo? Kitandani hakuna cha mkwanza, ni mtalimbo tu unaheshimika pale!!! Sasa na hapo inaelekea anaye mwingine na ndiyo nguvu zinaishia pale. KWa miaka 49 kwa mwanaume bado jembe huwa ni Zima kabisa japo kiasi cha magoli kinaweza kikiwa kimepungua kama Viagra haihusiki hapo!! Tehe Tehe!!! Njoo nikukune!!

naungo mkono hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom