LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,301
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance