Unaweza kumrusha... Isitoshe yanayosomwa la 5-7 ni hayohayo ataenda kuyasoma form one.
Nimeshuhudia watoto wengi tu wamerushwa madarasa.
Ila tatizo naloliona ni wanakua 'wanakua (growth)' wadogo kiakili za maisha wakati wamemaliza madarasa mengi. It's like you robe their childhood life
Mtazamo wangu tu kwa navyoona..... Kuna mtoto hapa alirushwa kutoka lanne hadi form one. Now ana miaka tisa yupo form two. Yaani ukimtoa darasani ni mtoto mdogo kabisa kiakili, anacheza na watoto wenzake wa 5/6 years. Anaendesha magari, katuni anazoangalia anazi apply hata nje (ufahamu wa kikubwa hana). Unaweza kumkuta anajenga nyumba ya matope anakwambia "The Pirates are coming



".
Kama ni madarasa tu inawezekana, mrushe. Ila angalia na akili yake pia.... Kusoma darasa moja baada ya lingine kunaenda sambamba na ukuaji wa mtoto, kumjenga ufahamu wake nje ya masomo n.k