Mkuu ushauri uliopewa ni mzuri ila kwa kuongeza tu kabla hujamrusha kaa na,walimu wake wa masomo yote wakupe maoni yao juu ya uwezo wa mwanao ukiachana na wewe mwenyewe kuuona uwezo wa mwanao,pia na kama mkikubaliana arushwe form one basi kwanza mrushe la saba uone maendeleo yake ukiona yupo vzur basi kabla hajamaliza unaweza kumrusha form one.ushauri wangu