Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Kah! Mimi wazazi wangu walipata shida kunirudisha madarasa, manake kichwani kulikuwa hamna kitu kabisa yaani emte hedi, dah! nilipokuja kujitambua nilikuwa kiboko, ama kweli kila kitu kujitambua, hata katika utawala.