Apana mrushe hadi la saba afanye mtihani wa la saba ili maana pia unafaida... fikiria iktokea uhakiki uko mbele na cheti chake cha la saba kkatakiwa si atakulaumu?
Mkuu asante sana kwa taarifaWaziri mwenye dhamana ameshasema cheti cha la 7 hakina maana, sababu ni watoto wengi kwa sasa hawafanyi huo mtihani kwa ajili ya kurushwa kidato, na pia kuna miaka hapo katikati vyeti vilikuwa havitoki. So hiyo haina tatizo
Mkuu la saba sio issue sana, mwanangu hakusoma kabisa darasa la saba, alipomaliza la sita nikamtafutia shule ya sekondari na alifanya vizuri tu huko mbele ya safari...At least hyo anaweza akasom la tano kidogo aalf ukamrusha la sits mwaak huo huo, hapo afadhal maanakwa ufahamu wangu mimi ni kwamba la saba ndio hujenga msingi wa form 1, nakushaur lazima asome la 7
Sa hiz uko wapMimi ni tofauti kidogo na mwanao ,mimi nilipofika la Sita shule iliniombea kibali cha kufanya mtihani wa la Saba maana nilikuwa nipo vizuri sana kwenye masomo na nilikuwa shule ya msingi za kayumba sio kama ya mwanao,lakini nilifanya mtihani wa la Saba nikafaulu nikaenda form one nikakaza msuri tena nilipofika form three nikaomba mtihani wa form four pia nao nikafaulu baada ya hapo nikaendelea kama kawaida mpaka chuo lakini dalasa la saba na form four sijasoma, ili mambo haya yote yanawezekana ikiwa ataombewa kibali kutokana na uwezo wake.
La nne si kuna mtihani wa taifa?hakikisha anasoma la Saba ....mrushe la nne had la sita
Uko sahihi, walimu huwa wanawaharibu watoto sana na kutudanganya wazazi. Nilikuwa na mtoto shule A akawa anafaulu vizuri yeye ni kati ya wa kwanza hadi wa tatu na wastani wa A nikamhamishia shule B ufaulu ukashuka na kuwa na wastani wa C. Hata ukimfuatilia anaonesha kuwa na uwezo wa wastani hivyo tusijaji uwezo wa watoto kwa ufaulu wa mitihaniUshauri wangu Kumrusha hadi Kidato cha kwanza sio vyema,Wakati mwingine huwa tunahadaika na hizi shule za Mfumo wa Lugha ya Kiingereza.Mtoto anaonekana anauelewa mkubwa sana bila kujua kuna baadhi ya Walim "Hupika"Matokeo ya watoto wetu na kuturubuni kuwa watoto wetu wanauelewa mkubwa lakini kumbe hakuna kitu.Au wakati mwingine mtoto akaonekana kweli anauelewa mkubwa akiwa na umri mdogo na kushawishika kumrusha darasa, pindi anapofika darasa tarajiwa mambo yanageuka na kumpoteza mtoto kabisa kwani anashindwa kuendana na masomo husika darasani na ukabaki kujuta imeshamtokea Shangazi yangu miaka ya huko nyuma.
Hakuna kitu kama hicho,hata kwenye ukaguzi wa vyeti cha darasa la saba wamekiondoa kwa sababu ya vijana walio rushwaAsante sana kwa ushauri. Kuhusu akili nje ya darasa, siwezi kulizungumzia sana hilo lakini ninavyo muona, anajitambua.. Hofu yangu ipo kwenye ishu ya cheti cha darasa la saba. Kwamba, anaweza kusumbuliwa huko mbeleni. Inaweza kufika mahali, kikahitajika cheti chake cha darasa la saba. Hilo unalizungumziaje mkuu?
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu.
Binti yangu ana miaka miaka Tisa yupo darasa la nne kwenye shule ya english media. Nafanya vizuri sana darasani, nataka mwakani baada ya matokeo ya darasa la nne nimpeleke kidato cha kwanza.
Wajuzi wa mambo mnaonaje hilo wazo langu?
Nini faida zake na hasara zake?
Kuna MTU amewahi kufanya hivyo?
With much thanx in advance
Kwenye baadhi ya shule za english medium kuna mchezo mbaya hufanywa ambapo mzazi usipokuwa makini unapotezwa. Wanafanya hivi: Wao hucheza na akili ya mzazi, wanajua bila shaka kila mzazi angependa kuona mwanae anafanya vizuri ili aone fedha nyingi anazolipa kwa ajili ya elimu ya mwanae zinafanya kazi. Kama mwanao hana uwezo kuna wakati humpandishia ufaulu kwa lengo hilo ovu.Uko sahihi, walimu huwa wanawaharibu watoto sana na kutudanganya wazazi. Nilikuwa na mtoto shule A akawa anafaulu vizuri yeye ni kati ya wa kwanza hadi wa tatu na wastani wa A nikamhamishia shule B ufaulu ukashuka na kuwa na wastani wa C. Hata ukimfuatilia anaonesha kuwa na uwezo wa wastani hivyo tusijaji uwezo wa watoto kwa ufaulu wa mitihani
Ushauri wangu Kumrusha hadi Kidato cha kwanza sio vyema,Wakati mwingine huwa tunahadaika na hizi shule za Mfumo wa Lugha ya Kiingereza.Mtoto anaonekana anauelewa mkubwa sana bila kujua kuna baadhi ya Walim "Hupika"Matokeo ya watoto wetu na kuturubuni kuwa watoto wetu wanauelewa mkubwa lakini kumbe hakuna kitu.Au wakati mwingine mtoto akaonekana kweli anauelewa mkubwa akiwa na umri mdogo na kushawishika kumrusha darasa, pindi anapofika darasa tarajiwa mambo yanageuka na kumpoteza mtoto kabisa kwani anashindwa kuendana na masomo husika darasani na ukabaki kujuta imeshamtokea Shangazi yangu miaka ya huko nyuma.