Kutokana na hio ada hio itakuwa sio elimu tu hii ya kawaida tunayo ijua wabongo ya kukariri na kulala na kutaniana darasani
Na jaribu kufikiri kuwa humo ndani kuna agenda ya ku wa program watoto wawe na hulka fulani ambayo added value ya ubinidamu wao na utashi.
Kazi ipo kwetu maskini, kama hatuna uwezo wakuwapeleka watoto wetu huko basi ni jukumu letu sisi wazazi kuhakikisha tuna wa program watoto wetu wawe na sifa za kujiamini,kujaribu.