Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
yaani hii sasa sifa ada 36m.....au wanasomea UNABII
Halafu mtoto anaishia kuwa Pfunk Majani au Master J
yaani hii sasa sifa ada 36m.....au wanasomea UNABII
[h=2]Notable Alumni[edit][/h]
- Mohammed Dewji - Member of the Tanzanian Parliament
- Usman Ally - Actor
- Shamima Bhalloo - President of IST Alumni Association
- Mariam Naficy - Founder and CEO of Minted, attended IST Elementary
- Saurabh Khetrapal - entrepreneur
- Gwamaka Kifukwe - researcher at UONGOZI Institute
- Walter Kitundu - music composer
- Mark Latham - music director at The New Hampshire Philharmonic, attended IST Elementary
- Sue Stolberger - artist
- Kali Ongala - footballer and coach Azam FC
- Magdalena Moshi - swimmer
Miaka hiyo ya 80 malipo yake yalikuwaje? Kwa hapa Tanzania, hata gharama za kusoma PhD hazijafikia hapo...
Wanafunzi wanaotoka hapo wanaendelea hatua inayofuata katika shule na vyuo vipi? Kama ni shule na vyuo hivi hivi tulivyosoma sisi akina Kayumba nahisi ni kufuru ya pesa tu...
I beg to differ. Again nimekupa mfano..kuna akina Masanja tumesoma shule za UPE za shs. 20..Lakini Mungu ametuongoza tukatoboa kwenye maisha. Lakini I can guarantee you in reality akina Masanja tunaotoboa notwithstanding our background ni wachache mno..ndo maana umasikini hauwezi kuisha.
Ukisoma shule kama hiyo hata exposure unayoipata ni zaidi ya University. Mf. Mimi kwa mara ya kwanza nimemiliki laptop nilipokwenda kufanya masters nje ya nchi!! Nimetumia internet..(Imean kuitumia..siyo hizi za facebok na IG) nimemaliza Form six.. Ila mtoto wa hizo shule anafanya niliyofanya akiwa darasa la kwanza na kunizid!!!
lets face it ni umasikni tuu ila shule kama hizo zinasaidia sana vijana wetu....
Hapo ni mwisho wa mchezo.
Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.
Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.
Miaka ya 80, $10,000-15000 kwa mwaka kama sijakosea.
Siwezi kujua hatua za kila mwanafunzi kutoka hapo.
Top of the class, wanapata scholarship kusoma Ivy League universities.
Watoto wa mabalozi wanarudi kwao.
Wanafunzi wengine wanalipiwa na wazazi wao kusoma nje, hasa Marekani na Uiingereza.
Wengine hawafaulu, mchezo mwingi na kuzunguka mjini.
Ukumbuke, wanafunzi wengi wa Kitanzania wametoka kwenye familia yenye uwezo. Wengine wanaanza kufanya kazi katika biashara za wazazi moja kwa moja, hawataki kusoma tena.
Siyo kila anaemiza hapa, anataka kuendelea kusoma au kwenda nje au anapata scholarship.
Wewe na mini huenda hatutalipa fees hizi kwa watoto vilaza, Lakini wazazi wengine hawaoni hivyo. Kuna watoto huko wametoka kwenye familia zenye uwezo sana , tena old money. Hizo fees wala haziwasumbui kichwa.
Hapo ni mwisho wa mchezo.
Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.
Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.
Chuo cha wapi?
Kama unafanya kazi hapo, watoto wako wanasoma bure. Sijui siku hizi, kwa walimu wa Kiswahili.
Pia, division 1 wa Tanzania walikuwa wanapewa scholarship ya kusoma IB one and two (form 5 & 6) halafu wakasimamisha.
Hii na ile SAVANNA PLAINS ya shinyanga ipi iko juu?
Hapo nakubali kabisa.
Unamaanisha Chuo Kikuu gani? Oxford na Cambridge au UDsm na UDom?
Vv
Basi hizo pesa huwa wanapeleka wapi hata majengo wanashindwa kuwa ya mvuto.
IST ipo vizuri, ila ukiiangalia ni sawa na shule za kawaida sana huku ninakoishi. Hiyo ada ni kubwa mno, ukilinganisha na product unayopata. I have debated and attended a couple of academic competitions at Jamhuri Primary back in the days. I went to Forodhani and IST often had their tails handed to'em. Mzizima was doing better among Dar's sec. schools. I went to college with some IST kids from Zambia and Ethiopia .... I couldn't tell 4real if they've spent more than .3M$ to get where they were.Mkuu, siwezi kuweka majina bila ya idhini yao.
Lakini kuna watoto wa wakubwa wengi wamesoma IST. Naongelea mawaziri na maraisi.
Hapo Juu, Saurabh ni Mtoto wa Expat wa India aliyekuwa Bongo. Kawahi kuingia Silicon Valley, CA, kauza people.com kwa monster.com na kuwa $ millionaire. Mjanja wa kwanza kuingia kwenye biashara za kuuza websites aliyeishi Tanzania.
Hapo ni mwisho wa mchezo.
Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.
Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.
Ivi ni kweli nacho kisoma au ni ndoto tu usiku huu