P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 625
Alafu unakuta mtoto mwenyewe anaanza vijitabia vya kina Rio paul au Martin kadinda.
Kaloleni primary school halafu Arusha Sec wakati huo Mkuu ni Mrs Materu halafu Ilboru sec Mkuu akiwa Mr Mushi na gari yake 404...then JKT oljoro and after that UDSM.Chakula kizuri..malazi safi...wakufunzi wazuri.
Hapo ni mwisho wa mchezo.
Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.
Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.