Nataka kumpeleka mwanangu hapa


Mkuu, siwezi kuweka majina bila ya idhini yao.

Lakini kuna watoto wa wakubwa wengi wamesoma IST. Naongelea mawaziri na maraisi.

Hapo Juu, Saurabh ni Mtoto wa Expat wa India aliyekuwa Bongo. Kawahi kuingia Silicon Valley, CA, kauza people.com kwa monster.com na kuwa $ millionaire. Mjanja wa kwanza kuingia kwenye biashara za kuuza websites aliyeishi Tanzania.
 

Miaka ya 80, $10,000-15000 kwa mwaka kama sijakosea.

Siwezi kujua hatua za kila mwanafunzi kutoka hapo.

Top of the class, wanapata scholarship kusoma Ivy League universities.

Watoto wa mabalozi wanarudi kwao.

Wanafunzi wengine wanalipiwa na wazazi wao kusoma nje, hasa Marekani na Uiingereza.

Wengine hawafaulu, mchezo mwingi na kuzunguka mjini.

Ukumbuke, wanafunzi wengi wa Kitanzania wametoka kwenye familia yenye uwezo. Wengine wanaanza kufanya kazi katika biashara za wazazi moja kwa moja, hawataki kusoma tena.

Siyo kila anaemiza hapa, anataka kuendelea kusoma au kwenda nje au anapata scholarship.

Wewe na mini huenda hatutalipa fees hizi kwa watoto vilaza, Lakini wazazi wengine hawaoni hivyo. Kuna watoto huko wametoka kwenye familia zenye uwezo sana , tena old money. Hizo fees wala haziwasumbui kichwa.
 

Pamoja na kukubaliana na hali hiyo, bado naamini kwamba upo uwezekano wa shule nyingi kufanya hayo wanayofanya katika hizo shule kwa gharama ndogo kuliko hizo ada. But that's their business, hata kama wangeweka annual fees $40,000, naamini watu wangepeleka watoto wao. Someday, some people will rise and provide education with comparative quality at a much cheaper cost. But the days are stll beyond horizon. For now let he who has the money spend it the way he sees fit!
 
Hapo ni mwisho wa mchezo.

Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.

Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.

Unamaanisha Chuo Kikuu gani? Oxford na Cambridge au UDsm na UDom?

Vv
 
Kana mshkaji wangu alipataga scholarship hapo enzi hizo baada ya kufaulu vizuri O Level, aliambiwa alipe 30% percent ya ada mzee wake bado akapiga chini, shule nzuri sana.
 

Well said!
 
Kama unafanya kazi hapo, watoto wako wanasoma bure. Sijui siku hizi, kwa walimu wa Kiswahili.

Pia, division 1 wa Tanzania walikuwa wanapewa scholarship ya kusoma IB one and two (form 5 & 6) halafu wakasimamisha.

Hata kazi ya kufuta vumbi mdau ama tutume maombi fasta.
 
Unamaanisha Chuo Kikuu gani? Oxford na Cambridge au UDsm na UDom?

Vv

Naamanisha, college education in general. Anywhere.

Inategemea na mwanafunzi.

Oxford na Cambridge?
Ivy League?
Haitoshi16G.
Wanataka 30-100G per year.

Malaysia. Singapore.
Hapa $16,000 per year unasoma.

Kuna Wanigeria mpaka North Cyprus wanafika, ili mradi wanasoma nje!

No idea about TZ uni. fees.

What you pay is what you get.
 
Ivi ni kweli nacho kisoma au ni ndoto tu usiku huu
 
Basi hizo pesa huwa wanapeleka wapi hata majengo wanashindwa kuwa ya mvuto.

Swala zuri.

Nje pengine hayavutii, ndani kuzuri.
Pia zile design za picha picha katika parking lot ni za juzi juzi. Zamani tunapaki ndani gari. Wamejenga miaka ya karibu.

Bado wana ardhi kubwa usoni mwa shule kuelekea Coco, kama sikosei.
 
IST ipo vizuri, ila ukiiangalia ni sawa na shule za kawaida sana huku ninakoishi. Hiyo ada ni kubwa mno, ukilinganisha na product unayopata. I have debated and attended a couple of academic competitions at Jamhuri Primary back in the days. I went to Forodhani and IST often had their tails handed to'em. Mzizima was doing better among Dar's sec. schools. I went to college with some IST kids from Zambia and Ethiopia .... I couldn't tell 4real if they've spent more than .3M$ to get where they were.

However, a bright kid plus IST will be one of the "baddest" combinations.
 
Hapo ni mwisho wa mchezo.

Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.

Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.

Kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu? Hamna chuo kikuu kina ada Million 50 kaka. IST ndo taasisi ya Elimu iliyo ya ghali kuliko yoyote Tanzania kwa sasa!
 
Ivi ni kweli nacho kisoma au ni ndoto tu usiku huu

Ni kweli kabisa unachosoma. Mitaala yao si ya Tanzania na hawafanyi mitihani ya NECTA. Ni mitaala ya UK. Ada kama unavyoona ni million 50>!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…