Yap sure mkuu.. Tatizo matajiri wengi wakibongo washamba. Alafu mi naona IST mablack ni wachache sana kuliko ISM. Matajiri wengi wa Arusha wanajitahidi kuwapeleka watoto ISM na Brueburn
ISM ndio nini vile kirefu chake?
Kiboko ni Mzee Mrema wa Impala Arusha.. Watoto kumi wote wamesoma ISM ambayo ada inaizidi IST kidogo
Kiboko ni Mzee Mrema wa Impala Arusha.. Watoto kumi wote wamesoma ISM ambayo ada inaizidi IST kidogo
Chuo gani?
Hiyo program ya waliopata div one ipo hadi leo. Nawajua watu wengi waliofanikiwa chini ya hiyo program.
Hiyo program ya waliopata div one ipo hadi leo. Nawajua watu wengi waliofanikiwa chini ya hiyo program.
Mkuu ist saivi ndo shule inayoongoza kwa ada eadt africa mdogo wangu kasoma hapo IB kwa scholarship
duh hizo shule balaa! ina maana hata kama mwanao ana iq ndogo wataikuza nini?
Kuna watoto wa mabalozi kama wa Yemen, Korea na Japan. Wanakuja hata maneno matatu ya Kiingereza hajui.
Wanapelekwa Intensive English Class, baada ya miezi sita, anaongea vizuri kabisa.
Tunapelekwa Model United Nations, Nairobi, kujifunza debating.
Huwezi kumaliza IB2 (form 6) mpaka ufanye masaa 80 ya volunteer work, hapo Salvation Army, kwa Mama Theresa au Katika hospitali yetu ya Kijiji cha Kinduitwi.
Pia, tumepiga rangi wodi za Ocean Road Hospital.
Tunafundishwa kuogelea na kuokoa.
Maktaba haina tofauti na Maktaba ya nchi tajiri. Kuna kila aina ya vitabu na magazines.
Kwa elimu, IST haina mshindani Tanzania.
hiyo fees ya mwaka mmoja kwa nursery unajenga simple house,,,,,,its extremely high
Kuna watoto wa mabalozi kama wa Yemen, Korea na Japan. Wanakuja hata maneno matatu ya Kiingereza hawajui.
Wanapelekwa Intensive English Class, baada ya miezi sita, anaongea vizuri kabisa.
Tunapelekwa Model United Nations, Nairobi, kujifunza debating.
Huwezi kumaliza IB2 (form 6) mpaka ufanye masaa 80 ya volunteer work, hapo Salvation Army, kwa Mama Theresa au Katika hospitali yetu ya Kijiji cha Kinduitwi.
Pia, tumepiga rangi wodi za Ocean Road Hospital.
Tunafundishwa kuogelea na kuokoa.
Maktaba haina tofauti na Maktaba ya nchi tajiri. Kuna kila aina ya vitabu na magazines.
Kwa elimu, IST haina mshindani Tanzania.
Kwenye viwango vya elimu bora ISM ipo mbele ya IST. Ngoja nikatafute ile link ya best international schools in Africa
nina maana ya value for money,$ 16000 for a year hakuna jipya hapo .usitete umashuhuri wa kijinga ina maana watoto wa hiyo shule wapo bright au wanapata cha ziada ukkilinganisha na other private schools? hiyo shule ni kwa diplomatic families and the fees is paid by the office not a parent alone ,hii ni kwa 90 % of all children