Nataka kumjua huyu radhi ni nani

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,535
Wadau sitaki niwachoshe nataka numjue huyu radhi coz nina hasira hasa leo baada ya kukosa nishati ya umeme nikiuliza eti Tanesco wameomba radhi huyu radhi ni nani timu ikifungwa inaomba radhi ccm wakiaribu wanamuomba uyo uyo radhi

So wadau radhi ni nani usikute kuna wapumbuvu wanamsingizia radhi kumbe wao ndio tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom