Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

kwanini usiende kukomboa majimbo ya ccm yenye umaskini wakutupa.

majimbo mengi mkoa wa kilimanjaro yanamaendeleo.

ungekuwa mzalendo ungeenda kukomboa majimbo yenye uhitaji.

kama hujui historia ya kilimanjaro kamuuliza davis mosha.
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.

Komu alishapambana sana kwenye siasa tangu akiwa Chuo Kikuu mika ya mwazoni mwa 90 bila mafanikio yoyote. Kwa sasa amepata sabbatical leave ajipongeze na kujirundikia mali. Lilikuwa ni kosa kubwa sana kumtosa Cyril Chami!!
 
Wanao Fanya siasa njaa ni hatari sana unasema jimbo limetekwa hutuonyeshi mateka yake ya koje,utakuta upo DSM unakula Kuku hujui ata moshi vijijini pakoje
Mkuu nipo kwenye harakati za kukijenga chama, kwasasa nipo kirima.
Karibu
 
Wanao Fanya siasa njaa ni hatari sana unasema jimbo limetekwa hutuonyeshi mateka yake ya koje,utakuta upo DSM unakula Kuku hujui ata moshi vijijini pakoje
Atueleze kata ziko ngapi na ni zipi zenye shida na shida gani zinazowatesa wananchi Wa Moshi vijini
 
Kama ni kuwaletea maendeleo wana moshi vijijini nakuunga mkono, lakini kama lengo lako ni kupambana na Chadema sahau kulichukua jimbo.
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Usiwasemee watu wa Kaskazini jisemee NJAA zako. Hakuna mtu mwenye zake ataunga mkono ujinga. Usikosee ukaanza mbio za sakafuni...
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.

kwa jinsi unavyojibu ata udiwani moshi vijijini hupati.

serekali inapata wapi pesa?

kwaiyoo ndo utawadanganya kwamba maendeleo ya moshi vijijini yataletwa na serekali wao wakunje nne wasifanye kazi.

na hayoo majimbo mengine ya ccm yenye umaskini wakutupa mbona serekali haipeleki maendeleo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom