Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Sasa unalikomboa kutoka wapi?
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.

ULIKOMBOE TOKA WAPI .....AU KWAKUWA UNAJUWA WANATESWA MAKUSUDI....???
KAMA WEE NI MWENYEJI UNAJUA KUWA WATU WA KILIMANJARO NA MIKOA YA JIRANI HAWABABAISHI KUTESWA ...AU KUONEWA KWA KUWA HAWATEGEMEI CHAKULA CHA MSAADA CHA SERIKALI.....NA HATA USIPOWAPA KAZI WANAJIAJIRI NA WAKIFANYA INTERVIEW ZA USHINDANI HATA ULAYA WANAPATA KAZI .......
SO UKAWAKOMBOE WANAOHITAJI UKOMBOZI SIO HUKO..
KWA MATENDO SERIKALI INAYOYAFANYA YANAKATISHA TAMAA HATA WANA CCM AMBAO WAPO WENGI TU ....NA WALE WALIOMPA KURA MAGUFULI KWA KUWA KURA ZAO INAONEKANA KAMA HAZINA MAANA ....UTAFIKIRI ALIPATA KURA 0% ...WAKATI WAPO WENGI TU WALIMPA KURA LAKINI MASIMANGO YAKE HAYAISHI ...AKIDHANI ATAPATA KURA KWA KUTOA MANYANYASO NA KUWATAFUTIA NJAA ASIJUWE KUNA WATU WAKO RADHI KUFA KULIKO KUJIDHALILISHA
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Kumbe fara sasa kama unajua maendeleo yanaletwa na serikali kwanini unamulaumu huyo ana serikali gani duuuuuh naona kama akili yako aina akili pole mangi
 
Nakuja mimi kulikomboa 2025 ... Ila ki uhalisia Moshi Vijijini sio kusema kwamba wananchi wana matatizo mazito kusema mpaka wanahitaji kukombolewa.

Issue ya Moshi vijijini nadhani ni kukarabati miundombinu iliyokuwepo na kuboresha na kupiga jeki shughuli za kiuchumi za wananchi.

Moshi vijijini nimetembea karibu kote kama barabara za kuunganisha kila sehemu zipo, shule zipo na hata vituo vya afya vipo, na shughuli za kiuchumi za wananchi kama kawaida kwa Moshi hazijawahi kusimama coz watu wenyewe wapiga kazi.

Moshi vijijini inahitaji mchumi wa kuchokonoa kasehemu kadogo mno na mambo yatakuwa powa kabisa.

Ila lazima awe na mapenzi na moshi vijijini na sio watu kama kina Cyril Chami, pamoja na U Dr. Wako bado hakuna alichofanya
 
Ww mwenyewe akili yako imetekwa kwa buku saba tu unataka ulete uzoba wako jimboni
 
Mtoa komenti utakuwa na tatzo la dishi kuyumba...
Akili ya kawaida haiwez kufikiri utumbo wako huoo
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Sasa wewe utakwenda kulikomboa vipi?

Utatoa pesa zako mfukon?

Akili za kipimbi hizi
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
kama maendeleo yanaletwa na serikali kwanini unaona hilo jimbo limelala kwa sababu ya mbunge na siyo serikali kwa kua ndiyo yenye hela ya kuleta maendeleo
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Kakombe la riz.chalinze kwanza.handeni
 
Huyo binafsi lami ilishia kwao
Potelea mbali madhali hakuweka chumbani mwake , na ameweka kwenye public kwa yeyote anayepita uelekeo wa kwake anakuwa free kupunguza kilomita za vumbi " hambu hambu" kuliko ambaye hajulikani. Nadhani kuna somo kubwa tumejifunza kuhusu hawa wawekezaji wajasiria siasa wanaojiita wapinzani
 
Monama kwani umeambiwa ccm haijawahi kuongoza hilo jimbo kama waliwahi kuliongoza kwa miongo mingi kwa nini tuongee vitu tulivyoshindwa kuvitekeleza kama chama. Mimi sio mpinzani ni mwaccm ambaye sishikiliwi akili. Mwache Komu aongoze wananchi ndo walifanya mamuzi yenye majibu.
 
Namkumbuka Mrema alipokuwa nambari wani hilo jimbo alilitendea haki sana na ndiye aliyeanzisha miradi ya barabara za lami, na umeme hadi milimani lakini aliposhawishika na tamaa akaenda huko kwa wapingaji ile lami mapipa yalioza kama uliwahi kupita barabara ya KCMC unajua vizuri. Ni CHAMI tuu aliweza kufufua hii miradi na kuiendeleza sasa baada ya kuchagua watu kwa upepo wa maandamano bila tafakari ya kina ndio haya yanayotupata sasa hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom