Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

Namkumbuka Mrema alipokuwa nambari wani hilo jimbo alilitendea haki sana na ndiye aliyeanzisha miradi ya barabara za lami, na umeme hadi milimani lakini aliposhawishika na tamaa akaenda huko kwa wapingaji ile lami mapipa yalioza kama uliwahi kupita barabara ya KCMC unajua vizuri. Ni CHAMI tuu aliweza kufufua hii miradi na kuiendeleza sasa baada ya kuchagua watu kwa upepo wa maandamano bila tafakari ya kina ndio haya yanayotupata sasa hivi
Hivi unajua sababu ya kahawa kufa .Kwanza ndugu jiulize ni kwa nini ili mikoa inayolima kahawa ndiyo yenye upinzani tangu ili anzishwa hapa nchi ukinipa jibu ndo nitajua ww sio mchumia tumbo.
 
Kwani limetekwa? Au limefanywa koloni na Kom? Maneno mengine bwana eti anakomboa
 
Potelea mbali madhali hakuweka chumbani mwake , na ameweka kwenye public kwa yeyote anayepita uelekeo wa kwake anakuwa free kupunguza kilomita za vumbi " hambu hambu" kuliko ambaye hajulikani. Nadhani kuna somo kubwa tumejifunza kuhusu hawa wawekezaji wajasiria siasa wanaojiita wapinzani
Hivi Okaoni kipindi Mrema anakuja kumkabidhi Ngawaiya Jimbo hilo ww ulikuwa na umri gani.
Siasa za msafara sio nzuri ndugu mimi ninaamini hili Jimbo liko sehemu salama. Kama watu waliweza kuua zao la kahawa ambalo Misionary alilileta kwa kujibatia kipato na kodi ya serikali watu wachache wanakuja kuliua kisa tuu ni Mrema kumkabidhi Jimbo mtu aliyekuwa hajulikani na Mrema akaenda kugombea Temeke .Na baada ya kuona Hawaii uliza kilichofuata .
 
Back
Top Bottom