Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

Davis mosha alikuwa anagombea moshi mjini
Nilifikir utasema ni mbeya mjini kumbe ni Kilimanjaro hiyo hiyo...siasa za kaskazini yooote zinafanana si moshi Mjini wala vijijini si arusha mjni wala vijijini ccm walishaikataaa...
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Kama maendeleo yanaletwa na serikali jimboni, sasa unailaumu nini Chadema?
 
Unafikiri ukiwa CCM upo salama. ?? Kwa kifupi hufatilii yanayojili kwa sasa umeendekeza uchama.

*Kwanza tutakushitak kwa kuanza kampeni kabla ya wakati.*
 
Bora arudi doctor Chami maana ndiye angalau alijitahidi kupeleka lami hadi milimani alipoishia ndio pale pale
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Safi, je maendeleo yasipokuwepo Nani alaumiwe? Serikali au mbunge?
 
Walimshughulikia David mosha 2015 vzr sana mkuu[emoji23] [emoji23] kajiuzulu na siasa mchana ccm usiku wanahudhuria vikao vya ukawa....Mara paaaaap kaambulia kura yake naya mkewe[emoji2] [emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna mtu ana huruma ya kuwakomboa watanzania basi aende majimbo ya Dodoma. Choka mbaya. Kwa kweli hao ndio wako utumwani kabisa chini ya mkoloni mweusi. Elimu duni, kipato hafifu, huduma za jamii ziko ICU.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo anakotokea Nkamia wanatia huruma kweli Dodoma mbunge wao anawaza tumbo lake tu...kakazania kubadili katiba wakae miaka 7 wananchi wake wanashindia mabuyu halafu 2022 watamchagua tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] halooo raha sana
 
Kusema kweli huyu Komu ni jipu hajawahi kurudi ktk jimbo lake hata mara moja. Kipindi kijacho wallah usirudi tutakupopoa kwa mawe. Huna faida kabisa, kwanza tulikubeba tu wala hubebeki.
 
Chami alikua anawajengea barabara mkamuona hafai saizi mnaisoma namba na mvua ikinyesha ndio kunakua hakufai kabisa
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Ingekuwa ccm wanaleta maendeleo watu wa dodoma wasingeishi wa kula maembe na mpala leo ukienda kongwa kwa JOB NDUGAI kuna nyumba za tembe. Majimbo yanayoongozwa na ccm watu wake hata mlo wa siku ni shidaaa
 
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.

Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
Sasa mbona unamlaumu komu na chadema ilhali sio wao waleta maendeleo?
 
Komu alishapambana sana kwenye siasa tangu akiwa Chuo Kikuu mika ya mwazoni mwa 90 bila mafanikio yoyote. Kwa sasa amepata sabbatical leave ajipongeze na kujirundikia mali. Lilikuwa ni kosa kubwa sana kumtosa Cyril Chami!!

Kweli mkuu, yaani ulitaka baada ya mchwa kujenga kichuguu, ujenge sasa kilima si ndiyo?? Huyo Chami hakujilimbikizia mali?? Tunamshukuru Nyalandu kwa kumnyoosha. Acha tena aje mwingine naye ajilambiye zake. Alipata hadi uwaziri, alifanya nini cha kukumbukwa?
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Kabla Komu ni nani alikuwa mbunge wa hilo Jimbo. Mimi jirani yake na Magdalena Sakaya hapo kijiji cha Kombo kwa hiyo sio Jipya kwa mtawala wa mwanzo. Fuatilia historia ya kahawa aliiua nani ndo utajua nini yafanye
 
Back
Top Bottom