Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Pambana hadi utoe jasho la damu
 
nani kakuambia kuwa upofu wako uliokuzuia kuona basi mtu hayupo n akazi zinafanyika? BAADAE USINIDANGANYE KUWA VILE HUMUONI MUNGU HAYUPO NA HAFANYI KAZI DUNIANI.
 
kwanini usiende kukomboa majimbo ya ccm yenye umaskini wakutupa.

majimbo mengi mkoa wa kilimanjaro yanamaendeleo.

ungekuwa mzalendo ungeenda kukomboa majimbo yenye uhitaji.

kama hujui historia ya kilimanjaro kamuuliza davis mosha.

Ha ha ha ha umenikumbusha mambo ya Yahaya unaishi wapi................ lol na mbaya zaidi kaikimbia siasa moja kwa moja sijui nani alimdanganya weupe ndio uongozi
 
Rubbish, wapiga kura wa Moshi vijijini humu si ajabu ukapata 5 tu ambao pia wanakuwa online mara 2 kwa week. Hii hbr peleka kwa wajumbe wa matawi huko Moshi vijijini wakusaidie kujiuza kwa wananchi
 
Ha ha ha ha umenikumbusha mambo ya Yahaya unaishi wapi................ lol na mbaya zaidi kaikimbia siasa moja kwa moja sijui nani alimdanganya weupe ndio uongozi

siasa yataka moyo.

jamaa wa watu Alikuwa anaitwa yahaya.

ata j.k kikwete angegomboe ubunge angepigwa chini,
 
Karibu Jimbo la Vunjo ujionee maendeleo yaliyoletwa na upinzani.
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Unatutest?
 
Jitokeze hadharani acha kuongelea gizani...just be a jf verified user.
 
Anza kuikomboa familia yako kwanza,ndipo ukalikombowe jimbo.
 
kwanini usiende kukomboa majimbo ya ccm yenye umaskini wakutupa.

majimbo mengi mkoa wa kilimanjaro yanamaendeleo.

ungekuwa mzalendo ungeenda kukomboa majimbo yenye uhitaji.

kama hujui historia ya kilimanjaro kamuuliza davis mosha.
Walimshughulikia David mosha 2015 vzr sana mkuu kajiuzulu na siasa mchana ccm usiku wanahudhuria vikao vya ukawa....Mara paaaaap kaambulia kura yake naya mkewe
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.

Kwani kabla lilikuwa na kitu gani??Huyo Mwanri alilifanyia kitu gani??Usidanganye watu Mwanri ndiye mpuuzi wa wote aliyelirudisha nyuma Jimbo letu.
 
Jimbo limetwaliwa na Kenya au bado lipo Tanzania?
 
Maendeleo ya sehemu fulani huletwa na watu wenyewe kuanzia uongozi husika. Ukiwa na mkuu wa mkoa, wilaya, mbunge, diwani wafuatiliaji wa mambo maendeleo yatakuja tu. Nyie wananchi muwe tayari kushirikiana nao na muyalinde hayo maendeleo mtakayoletewa. Bila kiongozi kupiga kelele sehemu husika maendeleo utayasikia kwenye maeneo mengine tu.
Hongera Komu kwa kutuletea barabara ya lami Kiborloni hadi Oldi Moshi. 2020 kura ni kwako tu. Hamasisha wananchi wazidi kupanda miti kurudisha uoto wa asili na mlima wa Kilimanjaro ujae theluji tena.
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
Kitendo cha kuwa na mawazo ya kiccm kimeshaku disqualify wakutafutie tu nafasi ndani ya chama chenu na uzidi kutukana na kushambulia upinzani ili upande nafasi haraka kama Juliana!
 
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.

Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.

Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.

Mangi2020-moshi vijijini.
dah!!
 
Huna uwezo huo wa kuchukua kule ccm hatuipendi kwa namna yoyote, heri tupate shida kuliko kuipa ccm.
 
Mkuu ni Mdau kwenye jimbo hili

Kwa mwaka huwa nakuja Tanzania mara 3 na huwa nakaa Moshi walau wiki au wiki mbili. Ukweli Moshi Vijijni inabadilika kwa kasi sana sisemi ni Mbunge pekee yake amechangia lakini kila mtu kwa nafasi yake.

Nina mashaka kama mtoa hoja kama anakaa huko Moshi ana anakaa huku mjini na kuwaza tu jimbo pasipo kufanya utafiti. Kwa mimi ninayekaa nje na kuja mara chache naona mabadiliko makubwa sana. Changamoto za maji kwa baadhi ya maeneo, barabara mbovu zinapigwa grader, baadhi ya shule zimeboreshwa, vituo/dispensary zinaendelea kujengwa na miradi mingine ya maendeleo.

Kubwa nionalo ambalo ni changamoto na ni kubwa sehemu nyingi nchini kwetu ni ajira kwa vijana na ulevi wa kupindukia.
Bado Mbunge Komu na madiwani na wenyeviti serikali za mtaa wameshindwa ama wamefanya kwa kiasi kidogo kuandaa miradi itakayofanya vijana waweze kujiajiri wenyewe.

Mfano: Kuna miradi ya kilimo [mboga mboga, matunda,n.k] na matunda hasa yenye kupelekwa nje ya nchi vijana wakihamasishwa wakajengewa uwezo makampuni kama AVACARDO, TAHA FRESH, SERENGETI FRESH, etc ni makampuni yenye kununua mazao for export wameshindwa kuwatumia.

Moshi vijijini mashamba na maji sio shida maana mbogamboga haihitaji eneo kubwa kulima yapo ni elimu na mitaji kidogo tu. Kwa hilo BAdo mbunge hajafanya vizuri kwenye maeneo mengine anajaribu yeye kwa kushirikiana na viongozi wa chini.
 
Walimshughulikia David mosha 2015 vzr sana mkuu kajiuzulu na siasa mchana ccm usiku wanahudhuria vikao vya ukawa....Mara paaaaap kaambulia kura yake naya mkewe
Davis mosha alikuwa anagombea moshi mjini
 
Back
Top Bottom