Limetekwa na chadema, halipo sehemu salamaUlikomboe kwan limlimetekwa
ulitaka tuwe wapi?Ingekuwa ccm ndo waleta maendeleo tusingekuwa hapa mpk hii leo
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.kwanini usiende kukomboa majimbo ya ccm yenye umaskini wakutupa.
majimbo mengi mkoa wa kilimanjaro yanamaendeleo.
ungekuwa mzalendo ungeenda kukomboa majimbo yenye uhitaji.
kama hujui historia ya kilimanjaro kamuuliza davis mosha.
Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.
Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.
Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.
Mangi2020-moshi vijijini.
Mkuu nipo kwenye harakati za kukijenga chama, kwasasa nipo kirima.Wanao Fanya siasa njaa ni hatari sana unasema jimbo limetekwa hutuonyeshi mateka yake ya koje,utakuta upo DSM unakula Kuku hujui ata moshi vijijini pakoje
Fanya mpango kwanza ukomboe nchi ilotekwa na sisiemu kwa miaka karibu hamsini.Limetekwa na chadema, halipo sehemu salama
Atueleze kata ziko ngapi na ni zipi zenye shida na shida gani zinazowatesa wananchi Wa Moshi vijiniWanao Fanya siasa njaa ni hatari sana unasema jimbo limetekwa hutuonyeshi mateka yake ya koje,utakuta upo DSM unakula Kuku hujui ata moshi vijijini pakoje
Usiwasemee watu wa Kaskazini jisemee NJAA zako. Hakuna mtu mwenye zake ataunga mkono ujinga. Usikosee ukaanza mbio za sakafuni...Ni dhahiri kuwa tangu jimbo hili kutwaliwa na chadema na Anthon Komu, jimbo hili la Moshi vijijini ni kama limekufa.
Hatuoni chochote kinachoendelea, mbunge haonekani tangu uchaguzi 2015.
Kwasasa ni wazi kwamba hata watu wa kaskazini tushaona Chadema inatupotezea muda, na imetugharimu sana kimaendeleo.
Nikiwa kijana mtiifu wa sera za chama changu CCM chini ya mwenyekiti Wetu Mpambanaji Dk Magufuli, natangaza vita na Chadema kwamba wajiandae kufutika kilimanjaro.
Mangi2020-moshi vijijini.
Kama ataleta treni za umeme za kwenda Rombo, machame, Vunjo, chome, Usangi nk basi tutampa kura zote . Kama anazungumzia maji ya bomba na barabara za changarawe ni bora akauze gengeKama ni kuwaletea maendeleo wana moshi vijijini nakuunga mkono, lakini kama lengo lako ni kupambana na Chadema sahau kulichukua jimbo.
maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni.
Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.