Nataka kulewa

Nakushauri utumie konyagi kwa wingi kila siku utayasahau yote. Tukiacha utani, nadhani tatizo lako hujamtoa akilini yule wa awali na kumchukulia mkeo kikamilifu bila kumlinganisha. Ukiachana kabisa na fikara za mpenzi wa awali utaanza kuona mkeo hana ubaya wa ajabu, na mtayazungumza na kuyarekebisha yanayowezekana.
 
Watalaam wanashaur usikimbilie kuoa 7bu ya kuwaonyesha wa2, kulipiza kisasi n.k, i gues ww ulioa ukiwa bado na machungu moyoni na hatimae ukazoa....cha kufanya usilewe isipokuwa anza kumtengeneza kwa ukali zaidi afuate matakwa yko, mh ikishindikana vunja kile kiapo kwamba tutakuwa pamoja hadi kurudisha kadi ya uhai.
 
Good_you just go on na kulewa mkuu,...ila usilewe sana....ukiona vip mteme tu....ya nini stress za ndani_maisha yenyewe mafupi haya.
 
Pole sana!! Ila usilewe bana mbona wanawake wako wengi tu, ya nini kujitia mawazo!
 

chukua hatua.. fikiri kabla ya kutenda.. usifanye kitu kwa sababu ya tamaa ya muda mfupi na kuachana na kile ulichokihitaji kwa muda mrefu..
 

well said dude..
 
Ni wakati muafaka kuwashauri bodi ya mikopo wapunguze mafungu, kumbe yanatumika kuhonga.Mkuu hao ndio walivyo ukisha muoa tu basi utachanganyikiwa. Hilo la kulewa utakuwa unaahirisha matatizo tu na kudhoofisha afya yako.
 
Dawa ya mwanamke mkorofi ni kutoka na mwanamke mwingine, kitu cha ukweli zaidi.../
 
da mkuu we lewa tu ila zikipanda USIMWAGE RADHI KM YULE JAMAA! alivyoimba! la msingi ni km walivyochangia wengine usifanye maamuzi ya ghafla kupooza mtima wako kwa maamuzi ya ghafla!
 

Mbona unatuchanganya kijana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…