Nataka kulewa

Nataka kulewa

weweulioa ukiwa bado na stress za huyo mwingine na pia mwanamke akitaka kuolewa atanyenyekea mpaka basi. nw la kufanya cjui n ndoa ya dini gani lakini ka ni wale wa kuvuta ndani piga chini ka kwa muda tafuta mwanamke mwingine.:embarassed2:

pia mwombe mungu ukilewa pombe ikiisha mawazo yanarudi tena mara mbili, moja ya mwanamke na pesa ulizotumia kulewa utazipataje tena.

njia nyingine ni kumweleza upendi huo ujinga wake.
 
Mapenzi ndivyo yalivyo mdogo wangu, hivyo ni wakati wa kumshirikisha Mungu katika mambo yako naamini Mungu ni uwezo wa kulitatua sokomoko linalokusibu.

Pia nakushauri kaa na mwenzako na myazungumze taratibu, ila ukiona bado hamuelewani haina budi kuwashirikisha watu wazima wenye hekima zao ili waweze kuzungumza nanyi.

Be blessed mkaka.
 
Kwahiyo unataka kuoa tena?
Kwani hiyo ndoa yenu mlifungia wapi? Nadhani ulioa kabla yakuelewa vizuri maana ya ndoa. Pole sana. Kilichobaki nikuomba Mungu amrekebishe huyo uliye naye


naomba sana Mungu anijalie nipate mmoja tutakayekuwa tunasikilizana na kunijali kama mumewe.
 
Hapo tatizo lako bado umemweka akilini yule wa zamani ndio maana unamuona huyo ana kasoro nyingi,hajashindikana bado huyo ukiwa kama mwanaume bado unaweza kumrekebisha mkaenda sawa,haya mambo ya kukimbilia kuacha sijui mmeyapata wapi?Hivi mnafikiri unaweza pata mwanamke ambaye kila siku itakuwa sikukuu? Sahau kitu km hicho ndio maana kuna neno sorry.Huyo wako
 
Back
Top Bottom