Nataka kulewa

Nakushauri utumie konyagi kwa wingi kila siku utayasahau yote. Tukiacha utani, nadhani tatizo lako hujamtoa akilini yule wa awali na kumchukulia mkeo kikamilifu bila kumlinganisha. Ukiachana kabisa na fikara za mpenzi wa awali utaanza kuona mkeo hana ubaya wa ajabu, na mtayazungumza na kuyarekebisha yanayowezekana.
 
Watalaam wanashaur usikimbilie kuoa 7bu ya kuwaonyesha wa2, kulipiza kisasi n.k, i gues ww ulioa ukiwa bado na machungu moyoni na hatimae ukazoa....cha kufanya usilewe isipokuwa anza kumtengeneza kwa ukali zaidi afuate matakwa yko, mh ikishindikana vunja kile kiapo kwamba tutakuwa pamoja hadi kurudisha kadi ya uhai.
 
Good_you just go on na kulewa mkuu,...ila usilewe sana....ukiona vip mteme tu....ya nini stress za ndani_maisha yenyewe mafupi haya.
 
Pole sana!! Ila usilewe bana mbona wanawake wako wengi tu, ya nini kujitia mawazo!
 
Nilimaliza chuo mwaka 2009,wakati huo nilikuwa katika mahusiano na msichana ambae nilimpenda sana,wakati wote nilipokuwa chuo nilikuwa namsaidia sana mpenzi wangu huyo kwa pesa za bodi ya mkopo,baada ya kumaliza chuo ukata ulinianza nilikaa kwa zaidi ya mwaka bila kazi,mpenzi wangu alishindwa kuvumilia akanicha akawa anatoka na mtu mwengine ambae alikuwa rafiki yangu wa karibu sana,niliumia sana kwakweli,Mungu si athumani baada ya mwezi nikapata kazi mkoa wa pwani,sikupenda kwenda mbali na nyumbani nilipokuwa naishi dsm,lakini nililazimika kuondoka kwa sababu ya maumivu niliyokuwa nikiyapata nikimuona gf wangu akitoka na best yangu,baada ya kufanya kazi kwa miezi 8 nilipata msichana mwengine ingawa ckuwa na mapenzi nae kwa sana lakini alinionyesha kunijali nikaona huyu ndio ananifaa,ckuchukua ata muda nikamuoa,dah kwa sasa najuta na vituko anavyonionyesha,unyumba mpaka nilie,kutwa bussy na mashoga zake,kibaya zaidi tabia ya umbeya na kusutana na wenzake kwa vijembe vya kuimbiana taarabu.Najuta sana nahisi nina mkosi na mapenzi,NATAKA KULEWA PLZ HELP

chukua hatua.. fikiri kabla ya kutenda.. usifanye kitu kwa sababu ya tamaa ya muda mfupi na kuachana na kile ulichokihitaji kwa muda mrefu..
 
Nakushauri utumie konyagi kwa wingi kila siku utayasahau yote. Tukiacha utani, nadhani tatizo lako hujamtoa akilini yule wa awali na kumchukulia mkeo kikamilifu bila kumlinganisha. Ukiachana kabisa na fikara za mpenzi wa awali utaanza kuona mkeo hana ubaya wa ajabu, na mtayazungumza na kuyarekebisha yanayowezekana.

well said dude..
 
Ni wakati muafaka kuwashauri bodi ya mikopo wapunguze mafungu, kumbe yanatumika kuhonga.Mkuu hao ndio walivyo ukisha muoa tu basi utachanganyikiwa. Hilo la kulewa utakuwa unaahirisha matatizo tu na kudhoofisha afya yako.
 
Dawa ya mwanamke mkorofi ni kutoka na mwanamke mwingine, kitu cha ukweli zaidi.../
 
da mkuu we lewa tu ila zikipanda USIMWAGE RADHI KM YULE JAMAA! alivyoimba! la msingi ni km walivyochangia wengine usifanye maamuzi ya ghafla kupooza mtima wako kwa maamuzi ya ghafla!
 
Nilimaliza chuo mwaka 2009,wakati huo nilikuwa katika mahusiano na msichana ambae nilimpenda sana,wakati wote nilipokuwa chuo nilikuwa namsaidia sana mpenzi wangu huyo kwa pesa za bodi ya mkopo,baada ya kumaliza chuo ukata ulinianza nilikaa kwa zaidi ya mwaka bila kazi,mpenzi wangu alishindwa kuvumilia akanicha akawa anatoka na mtu mwengine ambae alikuwa rafiki yangu wa karibu sana,niliumia sana kwakweli,Mungu si athumani baada ya mwezi nikapata kazi mkoa wa pwani,sikupenda kwenda mbali na nyumbani nilipokuwa naishi dsm,lakini nililazimika kuondoka kwa sababu ya maumivu niliyokuwa nikiyapata nikimuona gf wangu akitoka na best yangu,baada ya kufanya kazi kwa miezi 8 nilipata msichana mwengine ingawa ckuwa na mapenzi nae kwa sana lakini alinionyesha kunijali nikaona huyu ndio ananifaa,ckuchukua ata muda nikamuoa,dah kwa sasa najuta na vituko anavyonionyesha,unyumba mpaka nilie,kutwa bussy na mashoga zake,kibaya zaidi tabia ya umbeya na kusutana na wenzake kwa vijembe vya kuimbiana taarabu.Najuta sana nahisi nina mkosi na mapenzi,NATAKA KULEWA PLZ HELP

Mbona unatuchanganya kijana?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom