Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

uzuri wako marytina unapenda kutii kiu yako,............................
na kwa kuitii kiu yangu life makes more sense
ya nini asubuhi nakurupuka mbio mbio kuoga kazini mikwara ya bosi if siwezi kata kiu yangu kwa kuwa nitakavyoo?
hii kiu ndio inayonifanya niende kazini daily
 
mimi nataka nimiliki mwenyewe na sio kushare na wengine
hela si nyingi ila zinaweza kuninunulia furaha
if not kwa kulea sasa umuhimu wa kwenda kazini upo wapi???


hivi marytina, shoga yako michelle anasemaje huko pande ya Arusha.................

mpe salamu zake bana......................
 
nimekuuliza hapo mwanzo kuwa wanaume wa uswahilini utawaweza weye?
ligwaride lao utalimudu kweli?
tatizo ni kwamba wako addicted sana na ''jicho''
mimi ndiye buyer so najua ninunue yupi?
akinletea ujinga anafungasha usuku huohuo
 
Ha ha haaa umenichekesha sana Nyani Ngabu! Anyway mie nipo mkuu wangu....Lakini hizi za kuishi pamoja
si dizain zangu....mie zangu ni kuchuna cash na kila mtu akae kivyake na si kugandana
ulaaniwe!!!!!!!!!!!!!!!
 
<br />
<br />

Pole sana dada.

But Macharlie noma. Achana na hayo mawazo ya kubeba mme. Atakuchosha baada ya muda.
Unaweza angalia vibabu, hivyo huwa vimetulia.
Kwa ushauri kuhusu vibabu nenda ile blog ya mipasho.
 
i will consider
ila hata huyu Mmassai tulijuana kwenye kwanya ya Lutheran hapa ARUSHA
 
I wish mambo yangekuwa na mahesabu rahisi kama tunavyodhani hapa. Kupenda bwana ni uamuzi na unaweza badilika kama upepo. Inabidi uamue tu kuwa mtu wa kujiachia
 
NI KWELI WA MAWAZO YAKO WAPO TELE
ila mimi sitaki wa kiivyo kama ulivyoeleza
 


Be careful dear... yaani kavuka age ya Kuoa.... alafu umwite ethical man?? Kwa vigezo gani??
 
tamaa binadamu kaumbwa nayo,so usijipe mia kwa mia,anaweza kuja kutamani au hata wewe mwenyewe unaweza kuja badilika siku za usoni na kutaka mwingine,
"atakuwa wa kwako akiwa ndani kwako,ila akitoka nje tu,wengine watamwinda"
 
daaaah pole mart.. but dont be so desperate! ukiwa desperate sana ndio unaibuka na dege lisiloliwa, piga moyo konde muombe mungu atasikia sala zako tu.. there is a lot of gud men out there!
be blessed sam
 
Kuna kijamaa kimoja kinatumia ID ya Mwita25' kitakufaa sana maana kama kimeajiriwa kuchafua Jamvi, sidhani kama kitashindwa hiyo deal
sitaki hicho kirusi hata kama wanaume wote wapo occupied
 

Habari ya siku nyingi Marytina???!!.........Pole mwaya, usikate tamaa, tulia mwombe Mungu atakupa kijana mzuri mtulivu ambaye utaishi naye kwa ndoa! All the best!
 
hivi marytina, shoga yako michelle anasemaje huko pande ya Arusha.................

mpe salamu zake bana......................
umenikumbusha Michelle
nilimpenda sana na naturally nilimwogopa
yaani sikuwa naweza posts mambo flani flani kwa kuogopa karipio la michelle
i lv her so much!!!!nimemiss sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…