Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
If i were a boy...
Ungeenjoy sana
If i were a boy...
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.
Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN
nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
marytina upande gari za kjenge juu,uje mpaka kwa peter mshana,ukifika apo angalia kulia utamuona kijana amevaa penci na ndala,na miwani...atakuwa ndo mimi. Njoo all service shall b free,hamna cha salary.
Mimi nimetokea kukupenda wewe na je utakuwa tayari kunitafuta mimi nina miaka 22 namba zangu ni 0764588983 nitafute kupitia namba hiyo utanipata tu muda wowote.@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.
wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana
Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.
Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN
nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti
i appreciate!!!!!!!!! ila nataka wangu peke yangu
binadamu bana eti mtu anasema kabisa mimi hapa legelege nitafute contact zangu hizi hapa...Bad Ass