Nataka kulala Mchana niifanyeje simu yangu?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?
 
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?

silent ndo poa, unakuta misd calls zako.
 
Nipe mimi! Bora isiwe ya mchina tatizo lako litakwisha kabisa!(2)iweke kwenye ndoo ya maji,mimina maji lita 10 kisha iache kwa dakika 30 iepue kisha iweke kwenye friji kwa dakika 80 matokeo yake utaniambia hii ni teknolojia ya hali ya juu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom