nataka kukodi gari dogo

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Salaam wakuu!
Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly.
Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum
Ni kwa miezi mitatu nalipa Tshs 14,000 kwa siku, yellow number au white ni sawa.Mafuta naweka mwenyewe.
Siongezi pesa ya driver ; cc 1100 mpaka 1500 maximum.
tuwasiliane kwa rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM hapa.
 
Nina nissaan March, mint condition, full ac, tinted glass, autowatch alarm, petrol, automatic, 998cc, very economy nice little car... 2000 model.... Nipigie tuongee... 0714881500
 
Salaam wakuu!
Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly.
Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum
Ni kwa miezi mitatu nalipa Tshs 14,000 kwa siku, yellow number au white ni sawa.Mafuta naweka mwenyewe.
Siongezi pesa ya driver ; cc 1100 mpaka 1500 maximum.
tuwasiliane kwa rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM hapa.

Ingekuwa vizuri ukatujuza unaishi maeneo gani ili tujue barabara za huko na vipi kuhusu service ni juu yako au.
 
Kwani tax kwa siku ni TSH ngapi?au we ni mgeni wa biashara za magari?

hiyo ni self drive mkuu,ni tofauti na hesabu za siku, coz unaweza kukodi gari toka city centre hadi airport ukaambiwe 25,000 au 30,000 sasa ukipata abiria watatu kwa siku ni sh ngapi?
 
Salaam wakuu!
Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly.
Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum
Ni kwa miezi mitatu nalipa Tshs 14,000 kwa siku, yellow number au white ni sawa.Mafuta naweka mwenyewe.
Siongezi pesa ya driver ; cc 1100 mpaka 1500 maximum.
tuwasiliane kwa rakeyescarl@yahoo.ie au ni PM hapa.

kwa bei hyo ukienda kariakoo pale unanunua kabisa la kwako.Si umesema vile vigari vidogo vya watoto? Au nimesikia hovyo
 
Doooh,wakuu labda nijieleze zaidi.
Kwani nikisema naishi mtaa wa Uhuru,ina maana nikihamia Mtoni,bei inapungua au inaongezeka?
Na je kwani taxis drivers wanaleta hesabu shilingi ngapi kabla ya kulipia TRA, wanaibebesha mamizigo Kariakoo,repairs kila siku.Mimi naitumia kama ya kwangu sasa na muda mwingi niko kazini na ni contract ya miezi 3 mafuta juu yangu.
Mimi nimesema uwezo wangu sikujua Bajaj na piki piki ni rahisi kuliko gari nilifikiri hesabu yake ni kubwa zaidi.
Kumbe watu wenye vi taxi tunavyoona vimejaa mjini wanatengeneza pesa bcs guaranteed 14,000/day means >400,000/month mtaji 7M,wazoefu wa biashara za magari mnaziita ndogo?
 
Panda daladala, it will serve you better!
Starehe gharama mkuu!
toa outline ya aina ya kazi unayofanya!
isijekuwa kusambazia gongo na madawa ya kulevya!
 
Ndugu yangu unahitaji usipoon uonekane unagari kwani wewe ukipanda daladala unadhani nani atakuona kama hausitahili kuwa a gari wewe hiyo pesa ni yakununulia Castle lagaer 5 basi imeisha wakati sparepart hakuna ya 20000!!spark Plug ni 35000 champion twin wewe chukua teksi maali unapotaka kujizolea umaarufu ma GX100 yapo yakumwago 6000 unakodi unashuka na jamaa mnakula byere 2 unaonekana unandiga au ya jamaa yako!!ukofamilia na miduga!!
 
Back
Top Bottom