nataka kujua tofauti ya google chrome na internet explorer

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
hi wanajamvi
jamani nataka kujua tofauti au umuhimu wa google crome na internet explorer.
Nilikuwa nataka kufungua internet kuna jamaa yangu akanambia fungulia kupitia google chrome badala ya internet explorer,nikamuuliza kwa nini akaniambia ni nzuri tu kuliko hiyo internet explorer.
Hakunipa sababu za kuniridhisha.Sasa nimekuja hapa jukwaani kwa wataalamu ili mnijuze nini tofauti na upi ubora wa moja kwa nyingine.
Nasubiri toka kwenu
 
Kifupi zote zina kazi sawa kukuwezesha mtumiaji kuweza kufungua net ziko nyingi zaidi ya hizo kikubwa tofauti zake ni speed na wepesi wa kutumia kwa google crome ni nzuri kuliko zingine kwasababu iko na kasi na pia ina matumizi mengi mfano unaweza kupata incognito window lakini baadhi ya mapungufu yake nikwamba kuna web zinafunguka kimazabe yani baadhi ya features zinagoma kufunguka hiyo nikwaufupi.
 
tofauti nyingine :

internet explore ni default program/application (comes with windows) for browsing wakati chrome ni application ya ziada ambayo user unahitaji kuinstall mwenyewe ili uitumie...ni kama vile computer zote huwa zinakuwa na windows media player ila vitu kama VLC, real player na nyinginezo inabidi uinstall mwenyewe..hii yote ni sababu ya ufanyaji wake kazi na features zilizomo..but they just do the same thing!!
 
Back
Top Bottom