Chasing Monsters
Member
- Jul 4, 2022
- 29
- 29
Kazi yoyote halali nafanya, kazi za kutumia nguvu kiasi na za kutumia akili kiasi. Chamsingi zisiwe technical sana, zisiwe zile zinazohitaji ujuzi mwingi sana mpaka kusomea.Nipe orodha ya kazi unazozipendelea nione iwapo zipo hapa.