Nataka kujua kuhusu wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera

Habari wana JF,

Kuna mambo kadhaa natamani kuyajua sababu nimehamishiwa huko kikazi.
-Nauli ya basi kutoka Dar mpaka Kagera ni sh ngapi?
- Je kuna usafiri wa anga na kutoka Dar inaweza kuwa sh ngapi kiwango cha chini?
- Na ziwa victoria limefika maana napenda maji?
- Vipi kuhusu kilimo ni kipo cha aina gani?
- Na garama za maisha za maisha zipoje kuanzia chakula mpaka vyumba vya kupanga?
- Kuna shule za English medium kwa ajili ya watoto pamoja na vyuo?
- Mwisho nashukuru usinishauri nigoogle maana naona nimegoogle sielewi pia kama kuna mwenyeji wangu humu sio mbaya tukafahamiana.

Nawasilisha kwenu. Asante

Kwa kuwa hutaki kujisomea kupitia Google, basi nilipe kwanza ndipo nikutajie sifa za Ngara...kuanzia katerero, wake za watu, uzuri wa mademu wa Kiangaza, kilimo, ulaji senene....nk. Dau langu ni shilling milioni moja tu.
 
Mzee
Umemuelezea vizuri sana. Yaani kama nakuona vile.
Umesema Kweli tupu, maana mkoa wa Kagera, Burundi na Rwanda kwa kiasi kikubwa ndiko mishe zangu nafanyia.

Umenifurahisha uliposema Wanyarwanda. Sipendi kuoa huku ila wazuri kwa kuwagegeda mno.
Mbona wenzako tumeoa huku
 
Ngara hamunakaterero acha uongo,hayo ya bkoba kaka

Kuanzia Karagwe, Muleba, BK vijijini, Missenyi, Biharamulo, Ngara, huku kote mze Katerero anajulikana na anatamba sana. Mkuu usipende kubisha tu....watu tumetembea jamani. Anyways, njoo JF ujifunze mengi upate kuelimika.
 
Kuongezea tu na Mimi haina haja ya kwenda Bukoba,panda gari ya Bujumbura shika Ngara (kama Taqwa bado zipo)
Nilikaa sehemu moja inaitwa Rulenge ,aisee hiyo sehemu ni nzuri kuliko 70% ya Tanzania hasa kama unap3nda kuishi mjini na kijijini na kwa wakati mmoja,pana maji ya uhakika ,kuna umeme,barabara ipo ya lami na barabara za mtaa ni full moramu inapitika mwaka mzima.Kuna shule ,kuna hospitali nzuri na kubwa na kabisa lina kama zaidi ya miaka 50, mkuu hadi kuna library.
Rulenge ndio home,Niko mtaa WA Murutambikwa,ila kwa sasa Niko mikoani
 
Rulenge ndio home,Niko mtaa WA Murutambikwa,ila kwa sasa Niko mikoani
Nimeishi Rulenge takribani miaka 4, mwaka 2008 mwezi wa 11 ndo niliondoka, nilikua naishi mtaa wa majengo baadae Muyenzi. Vijiji vingi vya huko navifahamu. Maisha ya huko ni ya raha na amani ukipazoea, sehemu zingine nilizobahatika kuishi ni Benako, Ngara na Mugoma.
 
Kuanzia Karagwe, Muleba, BK vijijini, Missenyi, Biharamulo, Ngara, huku kote mze Katerero anajulikana na anatamba sana. Mkuu usipende kubisha tu....watu tumetembea jamani. Anyways, njoo JF ujifunze mengi upate kuelimika.
Ukitembea ukataka kugegeda utapata michangu na Sifa kuu ya uchangu ni kujifunza staili kama katerero
 
Baada ya kuzunguka huku na kule ndani ya mkoa wa Kagera, hatimaye nimefika Ngara wadau. Hali ya hewa ya hapa ndiyo balaa. Jua linawaka kidogo sana, mvua inanyesha muda mrefu sana na baridi ni kali kwelikweli. Wadau mlioko huku nipeni ramani za ujenzi wa taifa ili nami niuanze mwaka 2023 vizuri.
 
Karibu sana Benaco.
Ukitaka malazi tulivu uliza Maisha Lodge.
Ipo mtaa wa Karagwe.
 
Shukran sana mkuu, hapo Benako nilikuepo juzi nikaenda hadi Rusvmo kisha nikaja Ngara mjini. Vipi, naweza pata kazi yoyote huko?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom