Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,394
- 29,918
WHO ARE YOU! Kwani wewe ndiye mmiliki wa Chadema hata ulazimishe kujua michango ya kampuni yako.Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Cdm ni chama cha siasa, sio taasisi ya kifedha. Una lingine kwa msaada zaidi?Hawana pesa bhana
Changia update updatesNaona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Hiyo ilikuwa update ya wiki iliyopitaJana walisema bado Milioni 40 kufikia lengo. Wako na Milioni 290+
Wewe unaelekea huna akili kama hakinuhusu kwanini walinihubirai nichangie?WHO ARE YOU! Kwani wewe ndiye mmiliki wa Chadema hata ulazimishe kujua michango ya kampuni yako.
IdiotHawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Ww ulichangia kiasi gani?Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Ukikeketwa ndipo utakapojua kuwa hskuna ofisi yoyote inayolazimishwa na mtu kumpa taarfa ya mapato na matumizi.Wewe unaelekea huna akili kama hakinuhusu kwanini walinihubirai nichangie?
Jizi na lipenda rushwa liko busy kupost bila aibuHaiwezekani , hiko ni chama cha TEC. watoe pesa za sadaka ..Kila kiongozi anaitwa ''john'' so hakinihusu . Mkitutukana watu wa pwani, mnatukana wote mpaka zenji .Hivyo, zenji ni ndugu zetu .
Mkuu kwahiyo unataka kutuambia kile chama pendwa cha kijani ni cha wale jamaa wa mwezi na nyota?Haiwezekani , hiko ni chama cha TEC. watoe pesa za sadaka ..Kila kiongozi anaitwa ''john'' so hakinihusu . Mkitutukana watu wa pwani, mnatukana wote mpaka zenji .Hivyo, zenji ni ndugu zetu .
Money launderingš„±š„±š„±Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
UnaliaJizi na lipenda rushwa liko busy kupost bila aibu
CCM ni kwa wote ndiyo maana ina nguvu.Mkuu kwahiyo unataka kutuambia kile chama pendwa cha kijani ni cha wale jamaa wa mwezi na nyota?
#Hili nalo mkalitizame.
Haukuona uharo wa Sambia kiasi Cha kuteketeza mamia za roho za Watangandinga? akihofia Chadema?Hawana watu , mtoto wa zuchu alishaipata ndani ya siku tatu tu ..Kama wangekuwa na wanachama wale matajiri kama wa katoro basi ni siku mbili tu , maana wale kutoa mil 100 kama buku tu ..CHADEMA ni wapiga domo tu , hawana kipya , iko hivyo hata wapiga kura wao .
Kafie mbele huko ,kikubwa kalinda amani ...Nyie wajinga wachache mnaleta vurugu ,sasa angalia nchi ina watu wangapi? nyie chadomo na walioandamana mko wangapi?Haukuona uharo wa Sambia kiasi Cha kuteketeza mamia za roho za Watangandinga? akihofia Chadema?
Una tusi jipya ukiondoa Hilo ulilotaja hapo?Kafie mbele huko ,kikubwa kalinda amani ...Nyie wajinga wachache mnaleta vurugu ,sasa angalia nchi ina watu wangapi? nyie chadomo na walioandamana mko wangapi?
Mpumbavu unaleta ushabiki maandazi.