Nataka kujilipua kuoa

Nataka kujilipua kuoa

Kaoe ndugu yangu usisikilize porojo za humu wapotoshaji tupu, mke ajitunza labda uwe umeoa kiwete mwenye miguu mizima(golikeeper).

Ata kama hafanyi kazi mpange naye ajishughulishe hutajuta...!
 
Habari zenu mabibi na mabwana,

Ni kijana wenu mwema mwenye umri wa miaka 26.

Kipato changu ni elfu 8 hadi 10 tu kwa siku,
na nimepanga chumba kimoja.
Nimechakata data kichwani,
nikapata wazo la kujilipua kuoa.

Kabla sijaanza mchakato wa kudunduliza mahari,
Nimeona ni vema nije nipate mchango na hekima za wakongwe wa humu juu ya

1.FAIDA
&
2.HASARA
za kujilipua kwenye hiki kitengo.
Jilipue tu mr. Mim niko nyuma yako ntakusaidia
 
oa tu ndg ili kuepukana na tamaa za mwl chamsingi mungu akusaidie kupata mke mwema tunakosa baraka zingine kw sababu hatuna mana mungu anasema apatae mke apata kitu chema kila raheli ndg
 
Habari zenu mabibi na mabwana,

Ni kijana wenu mwema mwenye umri wa miaka 26.

Kipato changu ni elfu 8 hadi 10 tu kwa siku,
na nimepanga chumba kimoja.
Nimechakata data kichwani,
nikapata wazo la kujilipua kuoa.

Kabla sijaanza mchakato wa kudunduliza mahari,
Nimeona ni vema nije nipate mchango na hekima za wakongwe wa humu juu ya

1.FAIDA
&
2.HASARA
za kujilipua kwenye hiki kitengo.
Kwanza mkuu nashukuru kwakukiri UNAJILIPUA maanake unachotaka kufanya sio sahihi.watch out!
 
Mkuu Udochi, kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayetaka kufanya kitu na anayetaka kujaribu kufanya kitu. Wewe hutaki kuoa wala huna nia ya dhati ya kutaka kuoa bali unataka kujaribu kuoa.
 
unaingiza 10000 unataka kuoa ukiingiza 20000 hutaongeza wapili kwelii.


hiyoo hela ni ndogo endelea kujikusanya kidogo angalau 28 umri bado unaruhusu.

kodi 30,000
maji&umeme 10,000
chakula(4000×30) 120,000
vocha '(500×30) 15,000
mengineyo( kuvaa
sabuni,nauli,soda,
nk 90,000

total 265,000

kuoa si kutiana tuu kuna mke salon, pad, kunakuumwa, vocha yake, vinguo nk
 
Mh! Hapana kwa kwel vumilia at least ifke miaka 30 ndouoe raha ya ndoa uwe umejpanga maswala ya kuoa Leo kesho unaenda kugongea chumvi kwa jiran sikushaur, miaka 26 bado mdogo sana hata misukosuko ya ndoa hutoweza kuimudu
 
Ukisoma comments za hii thread zinasikitisha kweli.

Nina ona kama naishi kwenye generation ya ovyo sana.

I wish I could live in the early of 1900's.
 
Mh! Hapana kwa kwel vumilia at least ifke miaka 30 ndouoe raha ya ndoa uwe umejpanga maswala ya kuoa Leo kesho unaenda kugongea chumvi kwa jiran sikushaur, miaka 26 bado mdogo sana hata misukosuko ya ndoa hutoweza kuimudu
Teh....Teh...Teh!! Neema bwaana.
 
Unaoa mwanamke anaingiza na yeye pesa?
Oa tu bora akae hapo ndan kulikp ukate elfu 10 yako uwe unahonga girlfriend

Ila msizae karibuni kuleni kwanza maisha na mjipange.
Maana mkizaa hiyo elfu10 is nothing
 
[QUOTE"kdom, post: 20412697, member: 411325"]Life before wife, tafuta pesa kijana atleast kwa age ya 30+ hv ndo uoe.[/QUOTE]

Smart911
 
Unaoa kwa sababu ya umri ama fashion?
Unaoa kwa sababu ya kutaka ngono au wivu wa mapenzi?
Unaoa kwa sababu unaweza kujitegemea au kwa sababu unataka watoto?

Unaoa kwa sababi mwanamke anataka umuoe?

Unamuoa mwananmke wa tabia uzipendazo au ilimradi mke.

Kama hizo ndio sababu oga ulale ukue.
Your deep in shallow water,,,,ww unadhani mwanaume anatakiwa aoe kwasababu ipi??
 
Hicho kipato chako una demu mkuu? Kama unae muoe huyohuyo usibadilishe.......
 
Kuna wanawake nuksi, hata ukiwa bilionea utafilisika.... Wengine wana kismatti, ukiwa nao; ushauri, mipango na matumizi; unatoka kwenye umaskini. Kazi kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom