Sumbai watu wanasema laki 3 ni ndogo. Nimeshangaa saana.Oa tuuuu.....
Laki tatu kwa mwezi Ni mshahara wa watu na familia zao
Mwanao utakayepewa na mungu, umpende saaana., atakuwa faraja yenu_yako na kwa Afya yake na kicheko chake mtakula ugali tembele na wali dagaa, mtakaa kwenye mkeka na taa ya sola yote haya yanawezekana mkiwa na upendo mkubwa na mtoto wenu akiwa na Afya njema( namaanisha hana ugonjwa) ni jukumu lako kumuomba mungu akupe mtoto mzuri, mwenye Afya ya akili na mwili. Upange kabisa km ni Wa kiume/kike....Niwe mkweli,
Miongoni mwa sababu kubwa ni tamaa ya kupata mtoto katika umri huu,
Nahisi kama umri ukizidi mtoto ataniita babu.
Kijana kwa gharama za maisha ya sasa jipange kwanza. Kumbuka ukiwa vizuri financial hata ukija kupata mtoto on your 40's atakuheshimu zaidi kuliko kukimbilia kuwa nae saa hivi afu mbeleni mwanao akakudharau kwa kuwa ulikuwa haujajipangaNiwe mkweli,
Miongoni mwa sababu kubwa ni tamaa ya kupata mtoto katika umri huu,
Nahisi kama umri ukizidi mtoto ataniita babu.
Mkuu umenifanya nijirudi aisee. Na mimi nilikuwa najipanga nioe mwaka huu japo sina mahari ila nilitaka nikusanye kidogo nikajitambulishe na niombe kuishi na huyu mchumba wangu. Mchumba wangu ni mfanyakazi japo kipato ni kidogo na mimi ni mfanyakazi na kipato changu ni kidogo zaidi kutokana na kuchukua mkopo. Sasa hivi nawaza sana nikioa inakuwaje na ugumu huu wa maisha. Miaka yenyewe ndo hii 29.Kijana kwa gharama za maisha ya sasa jipange kwanza. Kumbuka ukiwa vizuri financial hata ukija kupata mtoto on your 40's atakuheshimu zaidi kuliko kukimbilia kuwa nae saa hivi afu mbeleni mwanao akakudharau kwa kuwa ulikuwa haujajipanga
Ndugu ukishaingia ndani ya ndoa mule unakuwa baba wa family. So ni muhimu kuwa ushajipanga zaidi. Usikubali kupelekeshwa na maneno ya watu kuwa umri wako ni mkubwa watakiwa kuoa sasa. Jiangalie kwanza je, ushajipanga sawa sawa.Mkuu umenifanya nijirudi aisee. Na mimi nilikuwa najipanga nioe mwaka huu japo sina mahari ila nilitaka nikusanye kidogo nikajitambulishe na niombe kuishi na huyu mchumba wangu. Mchumba wangu ni mfanyakazi japo kipato ni kidogo na mimi ni mfanyakazi na kipato changu ni kidogo zaidi kutokana na kuchukua mkopo. Sasa hivi nawaza sana nikioa inakuwaje na ugumu huu wa maisha. Miaka yenyewe ndo hii 29.
Hawajajua maisha Ni nini??? Labda wanaishi kwa kuiga intagramSumbai watu wanasema laki 3 ni ndogo. Nimeshangaa saana.
Ila may be sisi wenzetu wa masaki bwana.Hawajajua maisha Ni nini??? Labda wanaishi kwa kuiga intagram
Teh kama matawi Basi asubiri akisha fikia matawi.....Ila may be sisi wenzetu wa masaki bwana.
Wewe na mwenzio ndiyo mnaijua laki tatu ni kubwa kwao pesa ya Bonga ya week.
HahaTeh kama matawi Basi asubiri akisha fikia matawi.....
Kama Ni wakawaida Basi asukumwe na dhamira yake.....