nataka kujifunza...driving,,,,,

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
ila sijui nijifunze automatic au manual...wengi wananishauri nijifunze automatic is easier...na wanawake wengi wanaipenda hii option....whats your input guys...mie sio mjeshi nahisi mambo ya kuingiza gear yatanishinda vile.....
 
Njoo nikufundishe mimi, vipi unataka ya kuendesha maroli na maskania au vinoaha
 
ila sijui nijifunze automatic au manual...wengi wananishauri nijifunze automatic is easier...na wanawake wengi wanaipenda hii option....whats your input guys...mie sio mjeshi nahisi mambo ya kuingiza gear yatanishinda vile.....

Hmmm Rebeca?

You wanna learn how to drive ae?

Ae ae ae:lol::lol:
 
hahahahahah una utani wa ngumi,mascania tena????? kinoah cha kuringishia mashosti...lol

Ukijifunza scania ni mali sana, ukitoka na mmeo mnaenda lunch yaani burudani kwelikweli pale unapokuwa unacheza na kichwa cha scania
 
Jifunze auto mrembo ndo za kwenu ucje kuota kidodo bureeee binti wa wenyewe ikiwezekana nakupiga pindi humuhumu
 
Ni vyema kujifunza aina zote za gear cuz you never know, unaweza ukaidharau manual ukajifunza automatic na ukaja kukutana na gari yenye gear ya manual ikakushinda.
 
Nachojua mimi ni kwamba ukienda driving school watakuanzishia manual. Magari ya kufundishia ni manual. Na manual si ngumu Rebeca ni kuweka nia tu ya kujifunza basi mchezo umeisha. Na hapo mwalimu wako atakuwa na uhakika kuwa sasa ushakuwa dereva.automatic is very easy na si-suggest uanze nayo. Lakini pia kama unafundishwa na mtu binafsi kama rafiki yako nina uhakika atakuanzia automatic. Ni wewe tu. All the best our new driver to be in town
 
manual ndo nzuri..
mana utachezea sana kile kichwa cha gia liva...
 
Back
Top Bottom