Nataka kujenga ghorofa 5, itanigharimu Milioni ngapi?

Uko dunia gani unauliza maswali hewa? mfano nikikuuliza kufunga duka ni shilingi ngapi utaweza kujibu? Tafuta wataalamu kuanzia Architect, Structural Engineer,Building economist na Service Engineer kama kuna special features ila kushauriwa hewani bila kuwa na mchoro ama relevant details ni kutwanga maji kwenye kinu!

umemjibu vizuri aisee asifikri hii ni kama kuuliza soko la nyanya.. vitu vingine gharama haikwepeki....:biggrin1::biggrin1:
 
Mkuu hebu tusaidie kimoja
mimi nikiajiri kampuni ya ujenzi si wanapaswa wao kutafuta hao wataalam wote?
au mimi tena mteja nitafute wataalamu woote hao na bado nitafute kampuni ya ujenzi?

je wewe una kampuni ya ujenzi?
au unafanyaje shughuli zako
suppose nimekuja kwako nataka kujenga ghorofa 5 nina milioni 500 tunaanzia wapi hadi wapi?

Katika fiesibility stage wakati wazo la kutaka kujenga say structure ya aina fulani likija unatakiwa kukaa chini na mtu mshauri mwenye displine ya masuala ya fedha say mchumi ambaye atafanya utafiti usioacha shaka kwamba kiwango cha fedha unachotaka kudump kwenye mradi huo hutakuwa umepotea!

Baada ya mtu huyo naamini kabisa utakuwa una kiwanjaama eneo lililo mbali na mgogoro(kwa kuamini kwamba suala la lease ama title deed utakua umekwisha liweka sawa)

As Archtect utanifata,utanieleza adhma yako, nitatembelea site na kukushauri accordingly kisha kwa kufuata mahitaji yako nakaa chini natengeneza so called preliminary sketch kwa maana ya draft ya kwanza,nitakaa na wewe chini tutaijadili kama kuna ammendments zozote kisha narudi studio kumaliza design!

Baada ya kumaliza design tutam appoint structural Engineer kwa ajili ya ku calculate forces,kuandaa bar bending schedule,kudesign column/beams,slabs,stairs na kama kuna special mechanical item tunamshirikisha specialist.

Baada ya zoezi hili kukamilika file la Architect kwa pamoja na la Engineer linapelekwa kwa Economist(QS) whom ata quatify material na costs. Baada ya hapo unaweza kutangaza tenda ama kumchagua mkandarasi utakayeona anafaa (kwa msaada wa mhandisi mshauri-Consultant)

Note. Wakati documents zote zimekamilika utapeleka manispaa kwenye ofisi za ardhi ili kupewa kibali cha ujenzi Building Permit.

Baada ya Hapo file la Architect na QS utalipeleka kwenye bodi ya AQRB na lile la Engineer utalipeleka ERB ili kila moja upate sticker baada ya mradi kukaguliwa na kusajiliwa.

Mwisho kabisa huyo Contractor/Mjenzi uliyempata kama akiwa na daraja linalomruhusu kwa scale hiyo ya mradi naye anapewa usajili CRB na kupata Sticker. Kutoka hapo mradi unaendelea ila ukiwa unakaguliwa na wataalam kwa kila stage!
 
Asante je kwa stages zote hizi
ni kweli kwa milioni 500 mfano naweza jenga ghorofa 5 ambazo
ni two apartment kila floor mfano
na apartment moja iwe three rooms sebule na kadhalika...
kwa uzoefu wako hiyo bajeti provided nina kiwanja na tunajenga Dar
inawezekana?
 
Mkuu naona umekomaa na hiyo 500mil si kweli jamaa yangu kama inatosha hiyo nilimjibu tu ivo kwakuwa hakuweka maelezo ya kutosha ila maelezo ya jamaa hapo juu ndo utaratibu hasa ulivyo.......
 
Si ghorofa tano tu...hata tatu ambazo ni appartment kwa 500 mil. atakukimbia mkandarasi
 
Nataka nijenge Five ghorofa sijajua itanigharimu Milioni ngapi za Kitanzania!

Billion hata 3 hadi 7, itategemea nini utafanya. Kuna moja tulienda kuangalia ni kwa ajili ya shule.

Nondo, marine boards, tofali, mchanga , ciment na kifusi supply only ni about 480,000,000.

Hapo bado kokoto, excuvation, pipe works, etc
 
gorofa moja mzee wangu alishajenga around 90 million...
residential ...
 
Katika fiesibility stage wakati wazo la kutaka kujenga say structure ya aina fulani likija unatakiwa kukaa chini na mtu mshauri mwenye displine ya masuala ya fedha say mchumi ambaye atafanya utafiti usioacha shaka kwamba kiwango cha fedha unachotaka kudump kwenye mradi huo hutakuwa umepotea!

Baada ya mtu huyo naamini kabisa utakuwa una kiwanjaama eneo lililo mbali na mgogoro(kwa kuamini kwamba suala la lease ama title deed utakua umekwisha liweka sawa)

As Archtect utanifata,utanieleza adhma yako, nitatembelea site na kukushauri accordingly kisha kwa kufuata mahitaji yako nakaa chini natengeneza so called preliminary sketch kwa maana ya draft ya kwanza,nitakaa na wewe chini tutaijadili kama kuna ammendments zozote kisha narudi studio kumaliza design!

Baada ya kumaliza design tutam appoint structural Engineer kwa ajili ya ku calculate forces,kuandaa bar bending schedule,kudesign column/beams,slabs,stairs na kama kuna special mechanical item tunamshirikisha specialist.

Baada ya zoezi hili kukamilika file la Architect kwa pamoja na la Engineer linapelekwa kwa Economist(QS) whom ata quatify material na costs. Baada ya hapo unaweza kutangaza tenda ama kumchagua mkandarasi utakayeona anafaa (kwa msaada wa mhandisi mshauri-Consultant)

Note. Wakati documents zote zimekamilika utapeleka manispaa kwenye ofisi za ardhi ili kupewa kibali cha ujenzi Building Permit.

Baada ya Hapo file la Architect na QS utalipeleka kwenye bodi ya AQRB na lile la Engineer utalipeleka ERB ili kila moja upate sticker baada ya mradi kukaguliwa na kusajiliwa.

Mwisho kabisa huyo Contractor/Mjenzi uliyempata kama akiwa na daraja linalomruhusu kwa scale hiyo ya mradi naye anapewa usajili CRB na kupata Sticker. Kutoka hapo mradi unaendelea ila ukiwa unakaguliwa na wataalam kwa kila stage!
maelezo mazuri sana, ntakutafuta.
 
Mkuu kujenga ghorofa tano hapo hatuzungumzii milioni hapo tunazungumzia mabilioni.
Fuata ushauri wa wataalamu hapo juu.
 
Hilo gorofa hata upepo wa mvua inakwenda na maji.
Wewe either utakua very famous kwa response..au unatafuta kiki, au unasifika kwa kuwa active au unataka uadmin, au umri wako mdogo au ujapevuka kimtazamo au thinking capability yako ipo below sub average level au ni mtu mwenye sifa sana au una insecurity issues au very idol au lonely in your heart au sociopath au ulikua abused very young while growing up au single parent raised au kimuonekano sio mzuri ila una hela inayojitahid kukutakatisha au weekend ndo wakat wako waku reply threads ovyo au ni mtu mwenye kipato kidogo afu huna upeo wakutanua wigo wako wa mapato, au dereva mwenye matatizo na mkewe kwasababu ulishawahi kuwa safari wakakumegea na ukajua au una lea motto ambaye most times unakua wahisi sio wako au ulikua unatengwa sana utotoni kutokana na uzembe wako au ulianza ngono mapema sana au muonekano wako kichwa chako ndo outstanding feature which made your a.k.a ndonga au .

well great thing i would care less your opinion...na limejengwa na lina miaka kumi sasa...
 
Back
Top Bottom