Nataka kuikimbia Dar es salaam

Nataka kuikimbia Dar es salaam

Broo usikimbie dar,,usikate tamaa,badili mawazo ya aina ya kazi unayotaka kufanya,usiwe selective sana katka kuchagua kazi,,.we tuliza akili usipanic kabisa nautajikuta unafanya maamuzi sahihi,,nakuombea mafanikio mema mkuu
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri
Kilio cha hali ngumu ni Tanzania yote. Nchi inaugua
 
Nenda tu ukapambane mbele mbele mbona Lissu kasepa
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri
Hao wanawake wanaokuja mara baada ya wewe kuwa na maisha mazuri lazima wakusaliti tu siku ukiishiwa.
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri
proverb 31:
3 Don't spend all your energy on sex and all your money on women; they have destroyed kings.
 
Amka mkuu, Toka huko nenda mkoani hata mpanda au ruvuma Kuna mashamba waweza Kodi Bei ndogo na kulima , anza na ekar kumi za mahindi plus mihogo baada ya miak 1 au 2 endelea kuongeza eneo let say 20 acres fuata protocol zote za kilimo uta win sana maisha achana na hao wanaoishi kwa shemeji zao, mtu ana fikisha 40 yrs hana plot ,shamba kangangania dar huku kijj kwao mashamba yashakua pori kwa kutolimwa. Sad.
Heka kumi za kilimo unazielewa vizur mkuu? na kwa situation yake unasema aanze na kumi??
 
Sasa akipata elfu 10 au 15 kwa siku itamsaidia nini? Ataishi kwenye upangaji nyumba 1 watu 15 Hadi 20.. Bafu na choo humo humo, kuoga foleni Kama wanafunz, chumba kimoja godoro,ufagio,besene la kuogea,jiko ,usiku vibaka kila Kona sasa hayo ni maisha gn ? akistuka miaka 45 yrs hana plot , hana shamba , sasa watoto wake atawaridhisha nn ?
Elimu
 
sasa mkuu kwani dar pamekukosea nini . fursa hapa ni nyingi jaribu kuingia mtaani jichanganye utapata michongo wacha kujiweka kama vile bado unafedha
 
acha kumkatisha tamaa unajua maana ya mwanzo mgumu wewe
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri
Nichek 0710364110 uje tufuge nguruwe,kazi yako kulisha na tutagawana faida,nitakupa na pa kulala boss
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri
Tuko Uchumi wa Kati

Wee Wakimbilia Wap
 
Mwakani 2021 mwezi wa kumi mpaka 12 mungu akitupa uzima ntaandika motivational speech
KWA ajili ya vijana.....

Nimesoma hii habari mpaka nimesisimka najua unayo pitia hakuna mtu anae feel maumivu yako....

Kuna watu hawajawai ku husler kweny MAISHA yao hawata kuelewa

Watu ambao TUMEWAI kupitia maisha ya kupoteza KILA kitu kweny MAISHA.

Napo sema kupoteza KILA kitu kweny MAISHA nadhani mnaweza msinielewe.....

Kuna Vijana wengi wamepotea na kuji ingiza kweny matumizi ya madawa za kulevya na ulevi wa pombe KWA kukosa alternative options...

Nakumbuka ile stage kupata usingizi ikawa imeshindikana nahesabu bati bila kupata usingizi daily night

Na mengi Sana ya ku share na vijana....
Ngoja niishie hapa leo Ila mwakani mungu akitupa uhai ntaandika UP'S and DOWN'S zangu
KWA lengo la huwapa hamasa vijana...

NB.
Najisikia kumsaidia huyu mwenye huu uzi
Na imani siku MOJA ataleta mrejesho chanya humu ndani.

Anicheki DM.
 
Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..

Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.

Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.

Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingine Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!

Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.

Ushauri

Unaweza kuhama lakini usisahau "Hapa kazi tuu".
 
Back
Top Bottom