Am the One
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 913
- 905
Pole sana mkuu,, usikate tamaa..Wakuu, Maisha yamekuwa magumu sana hapa jiji la Dar es salaam.. Tangu nipoteze kazi sababu ya corona imepita miezi 6 sasa sijapata shughuli ya kuniingizia kipato.. Maisha ya wazazi ni duni nimegoma kurudi nyumbani japokuwa ni hapa hapa Dar es salaam, naona ni udhaifu sana..
Maisha hayaendi kabisa!! Nimekuwa nikisubiri fao langu la NSSF ili nifanye kabiashara lakini taarifa nilizopata hawatoi Fao lote.. wanatoa asilimia (8)% tu.
Siwezi kufanya chochote kwa hiyo amount km itakuwa ivyo.. Nimechoka sana very desperate!! Na mpenzi wangu hatuelewani kabisa nadhani sababu ya kukosa kazi na hivi juzi nimehisi amenisaliti.. Nimeumia sana.
Natamani kutoka Dar es salaam nikatafute Maisha mkoa mwingine, au hata nchi nyingineNafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!
Sitamani kuendelea kuwa hapa Dar nachanganyikiwa kila kitu hakiendi.
Ushauri![]()
Na shemej kama anazingua weka kushoto pambania maisha yako mkuu. Hawa viumbe sio. Jichanganye mkuu hutokosa pesa ya kula
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiria kuuza vitu vya ghetto niondoke tu!!