Nataka kuikimbia Dar es salaam

Nataka kuikimbia Dar es salaam

Naona hapa kinachokuchanganya zaidi ni huyo mwanamke,usikimbie mkuu,achana nae kisha pambana sana.Ipo siku atakuheshim.Situation kama hiyo imeshawahi kunitokea na ndio sababu ya mimi kuwa hapa.
 
Lakini hivi kumfuatilia mwanamke wako ni wivu wa kijinga? Au mwanamke anaetaka uhuru wake sana ni muaminifu kweli? Au mimi ndie nimekosea kumfumania!!
Si kosa kujua mwenendo wa mwenzi wako, uhuru anaoutaka ni wa nini, anataka kuficha nini? haiitaji digrii kujua kuwa mwenzi wako amekuwa mdangaji.
 
Maisha popote ila dsm hela inapatikana ki urahisi zaidi..we komaa tu..badili kitaa kama unaishi tabata hamia mbagara.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Amka mkuu, Toka huko nenda mkoani hata mpanda au ruvuma Kuna mashamba waweza Kodi Bei ndogo na kulima , anza na ekar kumi za mahindi plus mihogo baada ya miak 1 au 2 endelea kuongeza eneo let say 20 acres fuata protocol zote za kilimo uta win sana maisha achana na hao wanaoishi kwa shemeji zao, mtu ana fikisha 40 yrs hana plot ,shamba kangangania dar huku kijj kwao mashamba yashakua pori kwa kutolimwa. Sad.
 
Maisha popote ila dsm hela inapatikana ki urahisi zaidi..we komaa tu..badili kitaa kama unaishi tabata hamia mbagara.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sasa akipata elfu 10 au 15 kwa siku itamsaidia nini? Ataishi kwenye upangaji nyumba 1 watu 15 Hadi 20.. Bafu na choo humo humo, kuoga foleni Kama wanafunz, chumba kimoja godoro,ufagio,besene la kuogea,jiko ,usiku vibaka kila Kona sasa hayo ni maisha gn ? akistuka miaka 45 yrs hana plot , hana shamba , sasa watoto wake atawaridhisha nn ?
 
MAN BAKI TU DAR TUPO MIKOAN TUNATAMANI PIA TUJE DAR TENA HUKO KWA MATAJIRI WENGI MY B WANAJENGA JENGA

HUKU MIKOAN HATA KAZ ZA ZEGE SAIDOA FUND AU UFUNDI ZIMEKAUKA MZEE

NKUSHAUT ZAMA MACHIMBO YA MAJENGO MPYA HUWEZ KOSA KIBALUA MAN PIGA KAZ HUKU UNASAKA AJIRA NYINGINE AU UNAKUSANYA MTAJI

KURUD KWA WAZAZI NI BONGE LA UFALA KAMA AWALI ULIONDOK

PIGANA KIBAHARIA MZEE AU TWENDE CANADA

MIE BONGO NYOTA HAIJAWAI KUNG'AAA BUT SIJAWAI KAT TAMAAA

HATA KAMA MKE KAKIMBIA NAPIGANA

MBONA MFUND WANAISH NA KULEA NA WENGINE WAMEFUNGUA BIASHARA KOMAAA DAR HAPO
 
Sasa akipata elfu 10 au 15 kwa siku itamsaidia nini? Ataishi kwenye upangaji nyumba 1 watu 15 Hadi 20.. Bafu na choo humo humo, kuoga foleni Kama wanafunz, chumba kimoja godoro,ufagio,besene la kuogea,jiko ,usiku vibaka kila Kona sasa hayo ni maisha gn ? akistuka miaka 45 yrs hana plot , hana shamba , sasa watoto wake atawaridhisha nn ?
SEMA dar napo tabu ndio hiyo

Mkoa Kama MBEYAA ukiwa unaingiza kila day 15 kwa UHAKIKA,uwe na ninadhamu ya hella na plan ya UHAKIKA unatoa..

DAR SMTYM BASI NI SABABU MZUNGUKO WA PESA NI MKUBWA ILA DAH MAISHA YA HAPO..ten inapotea HUKU unaitazama na hujfanya la maaana
 
Unapokuwa na mwanamke anaekimbilia kukusaliti ktk nyakati ngumu tambua ulifanya wrong choice, fikikiria namna ya ku-restore maisha yako acha kufikiria mwanamke.
Rejea hii post!!!
Lakini hivi kumfuatilia mwanamke wako ni wivu wa kijinga? Au mwanamke anaetaka uhuru wake sana ni muaminifu kweli? Au mimi ndie nimekosea kumfumania!!
Haisaidii,mwanamke akishaonyesha ni malaya iwe umejua kwa bahati mbaya au ulikusudia haitakiwi wewe kama mwanaume uanze ku-doubt kuhusu hilo.

Huyo ni malaya kama wale wanaojipanga mabarabarani tofauti huyo anafanya kwa siri.kwenye hiki kisa chako huitaji kujiuliza!
Screenshot_2020-11-07-15-06-29-751_com.facebook.katana.jpg
 
SEMA dar napo tabu ndio hiyo

Mkoa Kama MBEYAA ukiwa unaingiza kila day 15 kwa UHAKIKA,uwe na ninadhamu ya hella na plan ya UHAKIKA unatoa..

DAR SMTYM BASI NI SABABU MZUNGUKO WA PESA NI MKUBWA ILA DAH MAISHA YA HAPO..ten inapotea HUKU unaitazama na hujfanya la maaana
Mkoani wengi wanaishi maisha mazuri wale wapambanaji unakuta mtu ananyumba, gari zuri syo passo au vits, mashamba, n.k Dar unakuta mzee mzima anaendesha passo, vits, Porter Mara Toyota Diana ukihoji wanasema mafuta ,! Ndugu zangu mlioko dar tokeni huko miaka hairudi nyuma, mtakufa maskini karibu mashambani tulime,.
 
Sasa huko mashambani hata toyo unaweza usimiliki,we unaona vitz au porte ni mchezo?huko vijijini watu wanatamani kumiliki baiskeli ya swala na wanaikosa,huku wanalima na kufuga,ishu si Wapi!! Ni vipi!! Kuna matajiri wa Namtumbo na matajiri wa sinza,hawa ni tofauti japo wote wanaitwa matajiri, kuna matajiri wa masaki na matajiri wa mbagala,usisahau hilo,utajiri ni tofauti kabisa na standard za maisha kiujumla,ukiwa na passo nachingwea vijijini utapigiwa magoti na wananzengo,ukiwa na land cruiser dar hushobokewi hata,ni wewe kujijua unataka nini tu,basi
 
Capt una umri gn? Uko kwako au umepanga ? Au unaishi kwa shemeji yako?
 
Sasa huko mashambani hata toyo unaweza usimiliki,we unaona vitz au porte ni mchezo?huko vijijini watu wanatamani kumiliki baiskeli ya swala na wanaikosa,huku wanalima na kufuga,ishu si Wapi!! Ni vipi!! Kuna matajiri wa Namtumbo na matajiri wa sinza,hawa ni tofauti japo wote wanaitwa matajiri, kuna matajiri wa masaki na matajiri wa mbagala,usisahau hilo,utajiri ni tofauti kabisa na standard za maisha kiujumla,ukiwa na passo nachingwea vijijini utapigiwa magoti na wananzengo,ukiwa na land cruiser dar hushobokewi hata,ni wewe kujijua unataka nini tu,basi
Sahihi
Nipo kijijini watu wanashinda shamba na kuchunga ng'ombe ila kumiliki baiskeli tu shida
Sanasana wanaendesha fupa
 
Nenda mwaya maisha ni popote!

Kuna watu wanaishi mkoani vijijini wanamaisha mazuri zaidi kuliko wengine waliopo Dar es Salaam.

Kuna watu kijijini wanalima kwa jembe la mkono wanajipanga wanavuna wanauwezo wa kubadilisha vyakula na mboga!

Maisha ni kujipanga usipoteze muda nenda wahi ilimradi usiwe mvivu nenda kapige kazi.
 
Back
Top Bottom