Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,883
- 1,465
Wataalamu habari???
Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu ambao ili kuukazia nafikiria kufunga lenta mbili yani katikati na mwisho kabisa kwenye kozi ya 8 au 9 ya ukuta..... naomba ushauri wenu wadau