Nataka kufuga samaki naomba msaada kwa yafuatayo

Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,903
Likes
1,856
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,903 1,856 280
Wana JF

Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo
1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence
2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya bwawa kuwaua samaki wote
3. Nawezaje kuepukana na wizi wa samaki hao nyakati za usiku

Naoba ushauri.
 
Milego

Milego

Member
Joined
Oct 19, 2017
Messages
37
Likes
9
Points
15
Milego

Milego

Member
Joined Oct 19, 2017
37 9 15
Kujenga uzio/fence ni muhimu
Huzuia predators wasiweze kula samaki pili usaidia kuzuia wizi wa rejareja katika mabwawa yako kwaio ni muhimu sana ikiwezekana unaweza kuweka ata nyavu kwa ajili kuvunika hao samaki wasiweze kuliwa na predators kama ndege ambao watatua moja kwa moja kwenye bwawa.Hakika ukifanya hivo ni vigumu samaki kuwekewa sumu kwa sababu kuna uzio.je unataka kufuga samaki una taaluma ya ufugaji au mtaalamu wa ufugaji
 
Erickford4

Erickford4

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
1,034
Likes
844
Points
280
Erickford4

Erickford4

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
1,034 844 280
Wana JF

Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo
1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence
2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya bwawa kuwaua samaki wote
3. Nawezaje kuepukana na wizi wa samaki hao nyakati za usiku

Naoba ushauri.
Fuga Mbwa Wakali
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,509
Likes
961
Points
280
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,509 961 280

Mkuu, mambo ni mengi kuliko hayo, hayo ni madogo sana kwenye ufugaji wa samaki. Maana unaweza piga fence kama ya Ukonga na samaki wasifikie viwango. Yapo mambo ya msingi zaidi.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,903
Likes
1,856
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,903 1,856 280
Mkuu, mambo ni mengi kuliko hayo, hayo ni madogo sana kwenye ufugaji wa samaki. Maana unaweza piga fence kama ya Ukonga na samaki wasifikie viwango. Yapo mambo ya msingi zaidi.
kama yapi
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,903
Likes
1,856
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,903 1,856 280
Kujenga uzio/fence ni muhimu
Huzuia predators wasiweze kula samaki pili usaidia kuzuia wizi wa rejareja katika mabwawa yako kwaio ni muhimu sana ikiwezekana unaweza kuweka ata nyavu kwa ajili kuvunika hao samaki wasiweze kuliwa na predators kama ndege ambao watatua moja kwa moja kwenye bwawa.Hakika ukifanya hivo ni vigumu samaki kuwekewa sumu kwa sababu kuna uzio.je unataka kufuga samaki una taaluma ya ufugaji au mtaalamu wa ufugaji
Nikipata majibu ya haya ndio nitaenda kujifunza ili nianze
 
Milego

Milego

Member
Joined
Oct 19, 2017
Messages
37
Likes
9
Points
15
Milego

Milego

Member
Joined Oct 19, 2017
37 9 15
Nikipata majibu ya haya ndio nitaenda kujifunza ili nianze
Ni vizuri kupata semina ya ufugaji kabla au uonane na wataalamu ili uweze kufahamu changamoto zilizopo maana unaweza kufuga samaki kwenye uzio/bila uzio lakini wakashindwa kukidhi kiwango kinachotakiwa kwenye soko ikakupelekea kupata hasara.
Je unataka kufuga samaki kwa aina gani ya ufugaji ?
Intensive fish culture system ambayo inahitaji high capital
Semi intensive fish culture system ambayo inahitaji semi capital
Extensive fish culture system ambayo inahitaji low capital
 
Milego

Milego

Member
Joined
Oct 19, 2017
Messages
37
Likes
9
Points
15
Milego

Milego

Member
Joined Oct 19, 2017
37 9 15
Umepima udongo wako, au utatumia liner/tank? Umepima maji( water source) au utavuna ya mvua? Je kuna seapage?
Ndomana mi pia nikamshauri kuonana na wataalamu au kuchukua mafunzo mafupi ya ufugaji wa samaki ambayo yatampa mwanga aanze na kipi afate kipi,maana uzio hauna faida sana endapo yeye hana uelewa wowote wa ufugaji wa samaki.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,903
Likes
1,856
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,903 1,856 280
Ni vizuri kupata semina ya ufugaji kabla au uonane na wataalamu ili uweze kufahamu changamoto zilizopo maana unaweza kufuga samaki kwenye uzio/bila uzio lakini wakashindwa kukidhi kiwango kinachotakiwa kwenye soko ikakupelekea kupata hasara.
Je unataka kufuga samaki kwa aina gani ya ufugaji ?
Intensive fish culture system ambayo inahitaji high capital
Semi intensive fish culture system ambayo inahitaji semi capital
Extensive fish culture system ambayo inahitaji low capital
unanipoteza nataka nifuge sato, samaki wa ziwa tanganyika, samaki wa ziwa nyasa, samaki wa nyumba ya mungu na samaki wa ziwa victoria.
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,509
Likes
961
Points
280
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,509 961 280
Ndomana mi pia nikamshauri kuonana na wataalamu au kuchukua mafunzo mafupi ya ufugaji wa samaki ambayo yatampa mwanga aanze na kipi afate kipi,maana uzio hauna faida sana endapo yeye hana uelewa wowote wa ufugaji wa samaki.
Asante kwa kumkumbusha hilo la tuition
 
Milego

Milego

Member
Joined
Oct 19, 2017
Messages
37
Likes
9
Points
15
Milego

Milego

Member
Joined Oct 19, 2017
37 9 15
Ufugaji wa Nile tilapia(sato) na African catfish ni rahisi in tropical and subtropical regions of the world endapo watafugwa katika Semi intensive na Extensive kwa sababu wana rapid growth rates,resistance to disease, high tolerance to low water quality, efficient feed conversion,ease spawning for Nile tilapia, good meat taste
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,246
Likes
879
Points
280
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,246 879 280
Uzi muhimu sana huu kwangu kwa baadae
 
Forum statistics

Threads 1,249,437
Members 480,660
Posts 29,698,368