Nataka kufuga ndege tausi

unataka kutuongezea ratiba nduguzo, ya kuja kukuletea kolget na mswaki SEGEREA!
Mmmmmh, ina maana ndege ana thamani kubwa kuliko yale madude yenye ndefu zaidi ya yule mwanamama wa Myanmar yaliyopandishwa kwenye "dege" hadi muanze kuniletea colgate badala ya kwenda kujinunulia mwenyewe.
 
Huyu ndege na lile dude refu lililopandishwa ndege, ni vipusa, nyara za serikali. Huyu ndege ukikutwa na unyoya wake, watakuambia uwaonyeshe alipo ndege!
 
Duuh hii noma sana umenikumbusha familia moja kule Shinyanga ilikutwa na mkia sijui wa mnyama gani yule ikabebwa kwa kosa la kumiliki nyara za serikali wakati uo huo ikatuhumiwa kumiliki lile zao pendwa alilokuwa analipigania mbunge mmoja lilimwe kihalali huku Musoma kisa tu kisa tu ilikuwa na mboga ijulikanayo kama mzubo.
 
Yaani ndio hivo.
 
fa5c60787864b9e512ac7f904b15cb2b.jpg
ni tausi wapo pale botanical garden..
 
Back
Top Bottom